Tumpe sumu paka wa jirani?

[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watajijua wenyewe wanaochukulia kila kitu serious mimi simo[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Wacha wivu huo ,unataka asipate utamu kama wewe? Muache ajiachie kwa raha zake .
 
Ukimuwekea huyo sumu, atakuja mwingine na mwingine je utawaua wote? Mfungie ndani asitoke nje.
Akimfungia asitoke harafu yeye ndio amtimizie haja zake za mwili? Kila kiumbe kina mahitaji yake mkuu.
 


Je mkisha ua huyo paka wa jirani yenu ni nani hapo kwenu atakaye mtimizia huyo paka wenu haja za kimwili?!. Lazima mfikiri pande zote,

Nendeni kwa jirani yenu mumuombe huyo paka wake ili naye mumuhudumie kama mlivyomuhudumia paka wenu,

Huyo paka wa jirani ni kama mume wa paka wenu, si vibaya kama naye mtamuhudumia na pia mtapata thawabu.
 
Nenda kamtelekeze sehemu kama feri -hospital au karibu na hotel's. ...apate kuishi katika mazingira hayo '' ni sehemu rafiki kabisa kwao atakuwa anajipatia cha kula cha bure. ..kuliko kutaka kumpatia hukumu nzito kiasi hicho
Huwa wanarudi nasikia..they know their way back home.
 
Huwa wanarudi nasikia..they know their way back home.
Yeah but strategy ambayo huwa inatumika "ni kuwa beba ndani ya mfuko kama wa sandarusi. ..Kisha una msafirisha na kwenda kumuacha kwenye hiyo location ..Hapo hawezi tena kurejea alipo toka '"" kwa sababu anakuwa hajayaona mazingira alipoyo pitishwa -----

Ni ukweli kwamba paka ana uwezo mkubwa sana wa kutunza kumbu kumbu. .. Kuna paka 1 nilikutana nae miezi 4iliyopita Mkoani nilipo kwenda kwenye mission zangu ' kisha nika mzoea zoea mpaka akawa rafiki yangu. ...Baada ya kukaa siku kadhaa kama week hivi nika safiri bila ya kurejea kule mkoani kwa muda wa miezi 4..... Nimeshangaa juzi kati nilipo rejea tena kule mkoani yule paka alivyoniona tu akaanza kuni kimbilia na kujilaza miguuni kwangu '' Yaani hajanisahau hata
 
kama wamependana waacheni msiingilie mapenzi yao,usikute paka wenu anampenda paka wa jirani pamoja na kukosa kwake matunzo
 
Hahaha, hyo last paragraph imenfuraishaa...
Kuhusu kuwafungia kune mifuko hyo ya sandarusi , rafikiangu yupo karatu aliniambia wamewahi kuwafunga hvyo hvyo yani hawaoni kitu,wakaenda kutupwa mbali sana porini huko:MARA TATU.
Still they managed to get back.
Mapaka so special yani.
 
kama wamependana waacheni msiingilie mapenzi yao,usikute paka wenu anampenda paka wa jirani pamoja na kukosa kwake matunzo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh! !!! Wameshindikana. .memory capacity yao itakuwa ni extraordinary
 
mpe vidonge vya uzazi wa mpango
sasa mkuu na umfundishe kugongwa na condom
 
Jamaa una roho mbaya sana ww, embu pata picha ndo ww wangekunyima kukutana na mwanamke wako au kutaka kukuwekea sumu ungejiskiaje.
Em acha paka wa jilan ajilie vyake.
Acha akuletee wajukuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…