Tumpe sumu paka wa jirani?

Tumpe sumu paka wa jirani?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,500
Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki kimwili na paka wa jirani ambae yeye Hana matuzo kwaiyo anamuweka paka wetu kwenye risk hence watoto!
Je tumpe sumu afe?
 
Ukimuwekea huyo sumu, atakuja mwingine na mwingine je utawaua wote? Mfungie ndani asitoke nje.
 
Nyumbani tuna paka jike.
Kwa vile tuna watoto wadogo na wanapenda kumchezea tukaona isiwe mbaya tumgharamie kumpeleka vet clinic kwa check up,kumkata kucha ,madawa etc
Tatizo ni kwamba anashiriki kimwili na paka wa jirani ambae yeye Hana matuzo kwaiyo anamuweka paka wetu kwenye risk hence watoto!
Je tumpe sumu afe?
Jamaa una roho mbaya sana ww, embu pata picha ndo ww wangekunyima kukutana na mwanamke wako au kutaka kukuwekea sumu ungejiskiaje.
Em acha paka wa jilan ajilie vyake.
Acha akuletee wajukuu.
 
Back
Top Bottom