Pole kwa kupitia athari za kuambukizwa na kuugua UVIKO-19.
Maelezo yako ya kupona, baadhi ya athari za ambukizo, baada ya kupata chanjo yanazua maswali mengine ya kisayansi.
︎ kwamba ukiambukizwa ugonjwa wa kirusi ukapona unakuwa na kinga ya huo ugonjwa, je, iweje kuwe na ulazima wa chanjo?
︎ hizo athari za ambukizo baada ya kupona (homa, mafua makavu, nk) yaonekana ni baadhi ya madhara ya ugonjwa, je, wataalamu wa afya walikushauri nini kabla ya kupata chanjo?
Kwamba
So what am I trying to say COVID 19 bado wanasayansi wanajifunza madhara yake, however vaccine helps asikwambie mtu inazua maswali anayouliza Gwajiboy. Isije kuwa chanjo kwako imekupa nafuu ya athari za kuambukizwa kuliko ambaye hajaugua kabisa?
Kwamba
Tatizo la huyu Gwajima sio kupinga with merit na uongo juu anawatungia wahusika to justify his position, now that is just stupid ni maoni yako binafsi lakini kwangu maswali yake yamenisaidia kufanya maaumuzi sahihi kuhusu kuchanjwa au la.
Msimamo wangu uko palepale kuwa waliochanjwa, hasa viongozi walioonesha mfano wa kuchanjwa, akiwemo Rais SSH, wafanyiwe vipimo kuthibitisha kuwa miili yao imetengeneza kinga. Kinyume chake nami nitaendelea kuamini walichanjwa "placebo"
VIONGOZI watupe majibu ya kisayansi kuhusu ubora na usalama wa chanjo ili watu kama Gwajiboy wapuuzwe