Tumieni VPN kama internet iko slow sana

According to dictator rules ni kinyume na sheria ukidakwa utahukumiwa jela kwa kosa la kimtandao
 
Kama vpn ni kinyume cha sheria tanzania basi hii itakuwa moja ya maajabu ya dunia.

Vpn kirefu chake ni Virtual Private Network, network ambayo ina-encrypt traffick yote ya network kwenye device yako. Kwa sababu moja ya lengo la vpn ni.

Kuusaidia makampuni ambayo yana matawi sehemu mbalimbali kuunganishwa kwenye network moja hivyo ambaye hana access na hizo na hiyo private network haiwezi access data za kampuni.

Lakini kubwa ni usalama wa data kwa sababu vpn especially openvpn hutumia SSL/TSL protocol, muundo hutumiwa pia na tovuti nyingi ikiwemo jamiiforum, tovuti nyingi hutumia https badala ya http.

Sasa kama VPN ni haramu inabidi tcra ipige marufuku pia kutembelea tovuti zote zinazotumia https(s inasimama badala ya secure) duniani.

TCRA waache kutunga sheria za kipuuzi kama wao wanaweza wazivunje AES 256 security standard ambazo vpn nyingi hutumia kulinda data.

Hivi hawa jamaa wanavyoblock mitandao ya kijamii wanajua kuwa wengine huko ndipo wanapofanya biashara? Akili zingine bhana.
 
Jibu lako hili hapa
f5802d84-c5a3-4b8f-9811-64f6d8673717.jpg
 
Wao wanawaza matumbo yao tu, jana wamenipa stress sana, sema nshawakwepa naendelea kupiga kazi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom