Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Njia nyepesi kwa wale wasiofahamu teknolojia:
nenda Psiphon | Download Android app and Windows client
chukua programu ya Psiphon.
Ni ndogo, unawasha tu, hakuna install.
Ama utumie njia inayopendekezwa au chagua nchi unayopenda kutumia (inasaidia pia kuangalia filamu, TV zinaziruhusiwa kwa nchi fulani tu)
Ni programu iliyowahi kuundwa kwa watu katika nchi kama China, Iran na kadhalika ambako wanajaribu kuzuia wananchi wasione ambacho serikali hakipendi..
 
Back
Top Bottom