Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Nik
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM pia mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi
Nilikuwa natuma video call imegoma
 
Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo

Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November
Wewe matako kweli mbona tunatumia na inafanya kazi vizuri
 
Uzuri wa Chadema wanajipa hofu ya mambo waowenyewe kupitia watu wachache waliopandikizwa, ukuwao wakihisi ni wenzao,kumbe wametumwa kwa kazi maalum ya kuwashughulisha kisaikolojia na mambo mengine ya kuwapa hofu.
 
Back
Top Bottom