Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
Nawasalimia wana JF wote wazima,
Leo ninapenda kuongelea nguvu tuliyo nayo ndani yetu jinsi inavyo weza kufanya maajabu. Wengi wetu tunajua au tumefundishwa kuwa binadamu au watu tuko katika sehemu tatu Mwili, nafsi na roho.
Na tumekuwa tukitumia misemo mingi kuongelea ukweli kuhusu who real we are. Mfano tunatumia msemo kusema mwili wa marehemu utazikwa leo. Lakini tunashindwa kuelewa je marehemu anaye miliki huo mwili yupo wapi.
Sitaki kupoteza mda kutoa maelezo marefu.Sisi katika physical ni taswira tu yetu sisi. Lakini sisi kwa uhalisia tumetokana na evolution ya mda mrefu ya consciousness zetu.
Kwamba sisi uhalisia wetu ni consciousness na huwa inauwezo mkubwa sana. Kama ukiwa unapata mda wa kukaa kimya sehemu tulivu utakuwa na uwezo wa kuongea na consciousness yako.
Na pale utakapokuwa na uwezo wa kuaccess consciousness utajua siri nyingi katika maisha.Unajua kitu cha kwanza, sometimes consciousness zetu huwasilisha ujumbe kwa njia ya wazo kwa kutumia spiritual voice.
Na kama uko karibu na consciousness yako utajua na kuielewa hiyo souti. Baada ya kuifahamu hiyo sauti unakuwa na ujasiri wakuongea kitu na kinatokea kwakuwa unajua hakika kuhusu consciousness yako.
Unaweza ukawa na uwezo mkubwa wa ushawishi au kufanya programming nk. Hii tu kwamba upo karibu na nafsi yako. Ni vyema sasa tukajifunza namna ya kuwa karibu na consciousness zetu.
Tutajua vitu vingi sana na kuwa na ujasiri wa kufanya wonders