heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Jamaa kajiunga na GYM iliyokuwa na
mashine kadhaa za mazoezi, na hapo ndani
kukawa na madada kibao wanafanya
mazoezi, jamaa kachanganyikiwa, akawa
mara ahamie mashine hii mara ile ili
wadada wamuone mkali, lakini yote ikawa
bure. Hatimae akamuendea mwalimu wa
GYM na kumuuliza; Jamaa: Aise mashine
gani nikitumia hawa madada watanizimia?
Mwalimu: Hebu jaribu kutumia mashine
ya ATM hapo nje ya GYM, lazima
watakuona we mkali.
mashine kadhaa za mazoezi, na hapo ndani
kukawa na madada kibao wanafanya
mazoezi, jamaa kachanganyikiwa, akawa
mara ahamie mashine hii mara ile ili
wadada wamuone mkali, lakini yote ikawa
bure. Hatimae akamuendea mwalimu wa
GYM na kumuuliza; Jamaa: Aise mashine
gani nikitumia hawa madada watanizimia?
Mwalimu: Hebu jaribu kutumia mashine
ya ATM hapo nje ya GYM, lazima
watakuona we mkali.