Tumia M-Pesa at your own Risk!

Tumia M-Pesa at your own Risk!

TCRA wanashindwa kuwajibika, watu wanapoteza au kucheleweshewa amana zao, wao wamefumba macho.
Jamaa hawa ni hopeless kabisa , nemeenda pale Makao Makuu Victoria kama saa 7.15 mchana.
Receptonist anasema wameenda kula, waliobaki ni wa IT tu.

Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.

Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho

"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"

Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .

VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA
Du du du.....
These voda people are bloody crooks and thieves, hiyo ya kukosea time ni manual input, na ndo uthibitisho wa wizi big time!!
 
M pesa ni balaa,kuna Mtumishi mshahara wake aliutoa nmb kwenda m pesa mwaka Jana,hd leo pesa yake haijarudishwa

Napita tu
 
Wanasheria mliomo humu JF, hamuwezi kutushauri jinsi ya kudai damages for non rendering of service.
Mtu kutuma hela kwa mgonjwa isifike in time, akipoteza uhai si lazima iwepo kesi?
Unaweza kuwashitaki ukipata lawyer mzuri. ni kwa vile hatujui haki zetu! Soma hii hapa chini .......copy and paste

Winfield defines the meaning of the Tort Law as follows:
1. “Tortuous liability arises from the breach of a duty is towards persons generally and its breach is redressible by an action for unliquidated damages”.
2. Purpose of tortuous liability: to give compensation, indemnity or restitution for harms also, to determine rights, as well as to punish wrongdoers and deter wrongful conduct, in addition to vindicate parties and deter retaliation or violent and unlawful self-help.
3. Tort law protect interest of the people in the cases where someone has suffered an unwanted harm. For which as following: Physical injury, psychiatric injury, distress, financial loss, annoyance by neighbours, reputation, damages to property.
 
Fanya muamala kwa registered agent itapungunguza hizo risks kwa kuwa wao wana access na hotlines za Vodacom
 
"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"
Message hii nimeipata saa 8.04mchana!!

Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo haipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja

Thread kabandika leo 31/10/2017, pesa karudishiwa jana 30/10/17 saa 4.41PM sema meseji itakuwa imechelewa. Hapo anasema "time 4.41PM!!!! time ambayo haipo" wakati ni jana. Hii ni Bongo, kama huwezi vumilia vitu kama hivi, omba visa ukaishi Ulaya jomba.
 
Hizi kampuni za cellular mnatakiwa kusimama nazo KIKAKAMAVU.
...
...
Vinginevyo mtambue Tanzania ndiyo shm wanapovuna faranga bila shida na raia wake ni wapole wasiopenda matatizo ikiwa ni pamoja na kwenda mahakani kudai [HASHTAG]#HAKI[/HASHTAG].
 
sina ham nao hao maboya yani....

sku1 nlkua kwe basi naenda Arusha livapul pale nkasema ntoe ela ya kula cs last night nlkua club so nlkua nmeishiwa
nlsubiri Meseji ya confirmation hadi basi lnaondoka haijaja na nlshindwa kula kufka himo ndo nkapata sms
30000 ikawa imeenda bure +kusafiri njaa
wakuda sana
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Siyo Voda tu sasa hivi Tigo ndiyo too risk hasa wao wanaiba ma super agent kuwaibia mawakala wao tigo-pesa hatari tupu sasa hivi. Super agent ni wabaya zaidi ndiyo wezi
 
kimsingi hii sera mpya waliyokuja nayo vodacom na MPesa Tanzania ya kurudishiwa pesa zako baada ya siku nne mie naona ni ya kipuuzi na hovyo kabisa. haiwezekani mtu kakosea namba ya kutuma pesa au kutoa unamweleza arudi nyumbani shida yake ya pesa isubirie mpaka baada ya siku nne ndio itatatuliwa are you guys real serious?? I think M-pesa tanzania has gone insane. TCRA na wenyewe wame paralyse naona mpaka boss wao atumbuliwe ndio akili ziwarudi wajue nini cha kufanya.
 
Thread kabandika leo 31/10/2017, pesa karudishiwa jana 30/10/17 saa 4.41PM sema meseji itakuwa imechelewa. Hapo anasema "time 4.41PM!!!! time ambayo haipo" wakati ni jana. Hii ni Bongo, kama huwezi vumilia vitu kama hivi, omba visa ukaishi Ulaya jomba.
Aannte kwa kuliona hilo, it deepens my suspicion!
Kwa vyovyote hali hii haitii matumaini!!!
Consumer confidence=0
 
kimsingi hii sera mpya waliyokuja nayo vodacom na MPesa Tanzania ya kurudishiwa pesa zako baada ya siku nne mie naona ni ya kipuuzi na hovyo kabisa. haiwezekani mtu kakosea namba ya kutuma pesa au kutoa unamweleza arudi nyumbani shida yake ya pesa isubirie mpaka baada ya siku nne ndio itatatuliwa are you guys real serious?? I think M-pesa tanzania has gone insane. TCRA na wenyewe wame paralyse naona mpaka boss wao atumbuliwe ndio akili ziwarudi wajue nini cha kufanya.
Mkuu sidhani km huwa wanasema baada ya masaa 72,huwa wanasema pesa zako zitarudishwa ndani ya saa 72 siyo baada ya masaa 72 ni ndani ya hayo masaa.

Ikumbukwe pia huyo unayeongea nae,kazi yake huwa ni kuchukua taarifa zako,kisha anatuma kwenye kitengo cha miamala. Na kesi km hizo ni nyingi sana! Ndo maana wanaweza kukuambia ndani ya saa 72 lkn ukarudishiwa muda uleule
 
Nimelazimika kulalamika katika mtandao huu wa JF maana naona M-Pesa sasa hivi ni very risky.

Jana nimemtumia mtu pesa kwa M Pesa akiwa dukani ili anunue madawa muhimu sana kwa mgonjwa. Jama dawa kazipata zote na zilikuwa na gharama kubwa. Nikatuma hela kwa M-Pesa immediately.

Baada ya nusu saa meseji ajapata kuwa pesa imeingia kwake. Nikawapigia M Pesa kwa huduma ya jamoo, namba 100. Jibu standard, tunatuma ujumbe mwingine. Baada ya nusu saa tena meseji haijaenda watakomesha uhuni wa hawa viumbe.

Nikapiga tena no 100 huduma kwa wateja, jibu bado standard, tutatuma meseji tena. Baada ya masaa mawili bado meseji y kuchukua fedha haijaenda, nikawapigia MARA YA TATU! Jamaa wa Voda M-Pesa wananiambia , tatuma meseji tena, tukusaidie tatizo jingine?

I blew my top.
Rudisheni hela yangu immediately, kama mmeshindwa kutuma. Jamaa wa M Pesa , itabidi usubiri withi 24hrs!

Leo napiga no 100 huduma kwa wateja , wananijibu, inabidi usubiri siku nne kurudishiwa pesa!! Mgonjwa wangu kue yuko hoi bin taaban.

USE VODACOM M-PESA A YOUR OWN RISK!!
Mimi najitoa.

UPDATE:

Sasa tuone MAAJABU
Nimepata message hii sasa hivi saa 8.04 mchana huu.

Hii ni baada ya kuwapigia simu no 100 mara kadhaa, sasa hivi wamenitumia ujumbe(sionyeshi no za utambulisho

"4JU******* Imethibitishwa, muamalawa kurudisha shughuli 4JU******* umefaulu na pesa kurudishwa mnamo 30/10/17 saa 4.41PM na sh570,000.00 zimeingizwa kwa akauni yako ya M-Pesa Baki yako mpya ya M-Pesa ni 610,000.00"

Message hii nimeipata saa 8.04mchana!!

Please note: time 4.41PM!!!! time ambayo ha pelekaipo, hivyo si kompyua inayofanya input, ni mtu aliyepanic!
Conclusion: Ni kweli kabisa kuna employees wanachezea accounts za wateja .

VODA M-PESA SI MAHALI SALAMA

Peleka malalamiko yako tume ya mawasiliano (TCRA), ukiwa na barua rasmi yenye maelezo yako na nakala za vielelezo kutoka Mpesa. TCRA ndiye regulator wa mitandao ya simu. Pia kwa sababu mtandao wao unajihusisha na mambo ya pesa peleka malalamiko yako Benki kuu ambao ndio hutoa leseni ya kufanya biashara ya pesa kukomesha uhuni unaofanywa na hawa viumbe.
 
Nini masaa 24 mimi niliambiwa ndani ya siku nne tena kuanzia siku nne mpaka na kuendelea halafu ilikuwa hela ya ada! Nilihisi kuchanganyikiwa maana nilikula ada na UE inakaribia kama siku 5 mbele........sema kuna mtu namjua voda ndo nikaongea nae akanisaidia akanitumia hela yangu yote kesho yake!!!
Nilikaa zaidi ya siku ishirini baada ya kuingia kwenye page yao FB nikamwaga sumu haikuchukua muda siku hiyo hiyo wakarudisha pesa.
 
Nilituma tshs 450000/ilikuwa na haraka sana.cha ajabu nilizungushwa wiki mzima mpaka nilipotishia kwenda mahakamani ndio ikarudi haraka sana
 
'Your issue with id C2675594 has been logged in with us and the expected resolution time is 20-06-2017' hao ni airtel, mpaka leo kimya! kifupi wote wanafanana na mlezi wao tcra, anawadekeza.
 
Back
Top Bottom