FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,516
- 46,603
Wanajibu kama robots wakati ni binadamu
We acha tu, MPesa wameni bore sana.
Inabidi mgonjwa niulizie bank account nitume pesa kwa njia ya kizamani.
Washenzi kweli, wanajibu kama robots wakati ni binadamu
Customer care hawana msaada full longo longo. Mbinu uliyotumia niliwahi kuitumia tigo, kwenye akaunti yao ya FB pesa ilirudi baada ya dk kadhaa.POLE MI KUNA KIPINDI WALINISUMBUA NIKAINGIA TWITTER NIKAWATUNISHIA MISULI WITHIN SECONDS PESA IKARUDI KWENYE SIMU YANGU LAKINI HAPO NILISHAKAA SIKU ALMOST 6 ZA KAZI
nadhani hawafunzwi chochote kuhusu wanachokifanyia kazi hawaelewi kituKwa kubana pua as if wako imported
cheap labourCustomer care hawana msaada full longo longo. Mbinu uliyotumia niliwahi kuitumia tigo, kwenye akaunti yao ya FB pesa ilirudi baada ya dk kadhaa.
Kweli kabisa wasumbufu sana, niliambiwa nisubiri baada ya saa 24 pesa itarejeshwa, muda wa saa 24 ukapita bila hata senti kurejeshwa. Nikapiga tena nikaambiwa itarudi baada ya saa 72, muda ukafika hola! Jamaa wasumbufu sana.Ukiwa unaongea nao wao wanaona ni simple tu na wanakujibu simple tu kuwa kuna matatizo ya mtandao pesa yako itarudishwa baada ya masaa 72.Ila kiukweli ni kwamba kat ya wale macustomer care tunaoongea nao kuna mtu wenye uwezo wa kufanyia kazi tatizo husika na kuna wale wenzangu na Mimi.Fika vodashop iliyo karibu nao huku ukiendelea kufanya mazoezi ya kuwapigia simu kila wakat
ukiambiwa usubiri na ukasubiri kweli itafika tar 10 mwez ujao.Wasumbue sn upate pesa yako
Kabisa wanakata simu hata mimi imenitokea wamenikatia simu zaidi ya mara mbili. Halafu wako baadhi yao hawana ufahamu wa kazi yao wapo wapo tu.HEE MKUU TULIZA JAZBA HUWA WANAUDHI MI NILIGHAFILIKA SANA KWAKWELI NIKAWAPA MAKAVU LIVE KULE TWITTER WAKARUDISHA PESA ZANGU NA NILIANZISHA THREAD YA KUKAMPENIA WATU WASITUMIE MPESA HAHAHAHA WAKARUDISHA MAANA NILISHINDWA KABISA KUWAVUMILIA HALAF CUSTOMER CARE WANAKUJIBU KAMA WAPIGA RAMLI CHONGANISHI MAANA HATA HAWAELEWI ...A WALA B
UKIZIDISHA MASWALI WANAKUKATIA SIMU
At least huku unaweza kueleweka sio kuleeeee! Yani kule huwa unavuruga hatariWanaiba pesa za wateja kuzitumia huku wakizungusha na kusubiri mwingine atoe hiyo pesa ili wakurudishie.. huku huyo mwingine watamzungusha kama wewe..
Ni kitu kinashangaza sana. Kama upo Dar nenda makao yao makuu ukapige kelele hadi kieleweke.

aghrrrrrrrrrrrrr cheap labour
karibia woote hawaelewi wako hapo kwa kazi ipi hawana majibu sahihi kwa wateja wakati mwingine unaweza kufikiri wale walinzi wa makampuni ndo wanapokea hizi simuKabisa wanakata simu hata mimi imenitokea wamenikatia simu zaidi ya mara mbili. Halafu wako baadhi yao hawana ufahamu wa kazi yao wapo wapo tu.
mmmmmmmmmmmmmmhMpesa ilikuwa zamani sio sasa mabraza men na machek sister kibao ofisini ngojeeni maumivu mnaotumia mpesa
Hilo ni wazo jema!
Mnishauri mwanasheria wa ku pursue!
Hizo ni hasira tu mkuu. Hapana shaka umekua ukitumia huduma ya mpesa kwa muda ss matatizo madogo ya kimtandao ndo yakupe uhakali wa kutoa matamshi hayo? Nonsense!Nimelazimika kulalamika katika mtandao huu wa JF maana naona M-Pesa sasa hivi ni very risky.
Jana nimemtumia mtu pesa kwa M Pesa akiwa dukani ili anunue madawa muhimu sana kwa mgonjwa. Jama dawa kazipata zote na zilikuwa na gharama kubwa. Nikatuma hela kwa M-Pesa immediately.
Baada ya nusu saa meseji ajapata kuwa pesa imeingia kwake. Nikawapigia M Pesa kwa huduma ya jamoo, namba 100. Jibu standard, tunatuma ujumbe mwingine. Baada ya nusu saa tena meseji haijaenda.
Nikapiga tena no 100 huduma kwa wateja, jibu bado standard, tutatuma meseji tena. Baada ya masaa mawili bado meseji y kuchukua fedha haijaenda, nikawapigia MARA YA TATU! Jamaa wa Voda M-Pesa wananiambia , tatuma meseji tena, tukusaidie tatizo jingine?
I blew my top.
Rudisheni hela yangu immediately, kama mmeshindwa kutuma. Jamaa wa M Pesa , itabidi usubiri withi 24hrs!
Leo napiga no 100 huduma kwa wateja , wananijibu, inabidi usubiri siku nne kurudishiwa pesa!! Mgonjwa wangu kue yuko hoi bin taaban.
USE VODACOM M-PESA A YOUR OWN RISK!!
Mimi najitoa.
Yani Nataka issue kama hii inikute waone na huy umasikini unaotutawali naona Ni wakati wankutumia taalima kutajirika...kama vip Mzee niuzie hiyo Kesi tutakula nusu kwa nusu!!Ni wakati wa Watanzania kuyashitaki haya makampuni yanapotokea matatizo kama haya maana wametuzoea mno hawa watu..