venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,744
- 3,997
Sipingani na wewe..
kuna ndugu yangu alituma pesa bank kama rejesho kutoka kwenye acc yake ya mpesa lakin cha kushangaza salio likapungua na pesa haikufika bank...
Kufuatilia kwenye branch zao wanamwambia mitambo ya mpesa ilikua marekan xo kuna tatizo ndo wanashughulikia....baada ya miez 2 ndo wakamrudishia ile hela na hapo bank wamesha mpiga fine za kutosha...
Mpesa mnatupa wasiwasi.