Tumia keyboard ya kawaida kwenye simu za touch screen

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,191
3,353
kuna wimbi la watu wamekua wakipata tatizo kutumia keyboard hizi zenye herufi moja moja hivyo kuwafanya kutaka kurudi zenye keypad za simu za kawaida T9, sasa kwa yoyote mwenye hii shida itabidi utumie hii application na ufuate maelekezo download haoa Zippyshare.com - (EvenBetter)NumberPad Keyboard 5.0.6.apk

unnamed.jpg
 
Mbona smartphone zinakuja na kyboard ya T9 ni kwenda setting unachagua tu huhitaji kudownload
Mfano ni Samsung zipo za aina mbalimbali.
 
Kuna baadhi ya simu znachange keyboard kwenda t9 mode au qwerty bila hata kutafuta thirdy part apps.. Mm nmeona hii kitu kwenye huawei na sony experia na hata lenovo.. Unachotakiwa ni ku Swipe keyboard either chini au juuu .... Simu nyngne pia ukienda kwenye setings unaeza change keyboard mode
 
Back
Top Bottom