Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,115
- 136,850
- Thread starter
-
- #61
Hapana. Nadhani sheria za mikopo ni tofauti na ishu ya huyu mzungu,huyu mzungu hatukumkopa,tulimtaifisha .kwahiyo nadhani haiwezi kutumika sheria ya hiyo mikopo ya mortgage.
Nazidi kuona aibu aisee!! Yaani inafika mahali utajificha kila utakapo kutana na mgeni wa nchi tofauti, maana kwenye story anaweza kuchomeka maswala ya ndani ya nchi yako, ukaishia kupata aibu,Noma sana!
Wengine waloandamana nimewaona wamebeba mabango ya sijui kwamba sisi tuliwasaidia hao Wasauzi enzi wakipigania haki zao.
Kwa hiyo kama tuliwasaidia, huo msaada unahusiana nini na tatizo lililopo?
Tumezidi ushamba.
Naangalia kichwa cha thrd yako na maelezo uliyotoa, hakuna uhusiano. Ushamba una uhusiano gani na maandamano, na ununuzi wa ndege? Kwa maoni yangu walioandamana wanatuamusha tunaojidai kupiga kelele hapa JF bila kujulikana. Africa kusini haikustahili kabisa kukamata ndege ya TZ kwa kisingizio cha mahakama, wakati walishindwa kumkamata Al Bashir bila kujali amri ya mahakama. Ukishatazamia kufanya tukiola aina hiyo, tegemea matatizo ya kidiplomasia maana hiyo siyo ndege ya muuza gongo.Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!
Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?
Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!
Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.
Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.
Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.
Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?
Tumezidi ushamba.
Sio poa hata kama tunadaiwa,huu mtindo wa kuzuia ndege ni kama utekaji.ina maana sheria zinaruhusu kuzuia ndege pale nchi daiwa inaposhindwa kulipa deni? Na bora deni tungekuwa na tumekopa fedha hivi karibuni kwa masuala ya maendeleo,sasa deni la miaka 37 iliyopita,si unajua awamu hiii inajitahidi kufanya hili na lile ili tuweze kusonga mbele kiuchumi,bila kujali mapungufu ya hapa na pale.kwahiyo hili la ndege yetu kuzuiwa halijakaa poa,linaumiza,
Kuhusu kuandamana ,si jambo baya wala ushamba,kuandamana ni namna tu ya kufikisha ujumbe sehemu husika.kila mtu ana haki ya kufanya jambo anavyojisikia,ahakikishe tu havunji sheria.
Yap! Nimewahi kudaiwa benkiHujaelewa. Hujanielewa.
Ngoja niulize kivingine.
Ushawahi kudaiwa hela, iwe na mtu binafsi au taasisi?
Kama wazo nimetoka kwa homeboy wako bashite unategemea nini? U born town? Au huo ulioutaja? Mipango mkakati wa asiye na akili na mshamba ni kuyokuwa na akili na ushamba!Noma sana!
Wengine waloandamana nimewaona wamebeba mabango ya sijui kwamba sisi tuliwasaidia hao Wasauzi enzi wakipigania haki zao.
Kwa hiyo kama tuliwasaidia, huo msaada unahusiana nini na tatizo lililopo?
Tumezidi ushamba.
Nina imani na wewe uliandamanaMtu anayemshabikia TL ni mufilisi, huwezi kuwa unajielewa ukajadiliana naye Pole
Naangalia kichwa cha thrd yako na maelezo uliyotoa, hakuna uhusiano. Ushamba una uhusiano gani na maandamano, na ununuzi wa ndege? Kwa maoni yangu walioandamana wanatuamusha tunaojidai kupiga kelele hapa JF bila kujulikana. Africa kusini haikustahili kabisa kukamata ndege ya TZ kwa kisingizio cha mahakama, wakati walishindwa kumkamata Al Bashir bila kujali amri ya mahakama. Ukishatazamia kufanya tukiola aina hiyo, tegemea matatizo ya kidiplomasia maana hiyo siyo ndege ya muuza gongo.
Tunaojidai kujua mbinu za kuendesha serikali, tuko bize mtandaoni kwa matusi na kuzomea, wakati wachuuzi wanajaribu hata kuandamana.
Kumbe mjinga kweli wewe! I am black African! HahahahaAisee najisikia aibu sana kuwa mtanzania..sipati picha tukifika huko ahera tutakavyochekana kwamba "na wewe ulikua mtanzania kumbe hahahaha"
Mtu anayemshabikia TL ni mufilisi, huwezi kuwa unajielewa ukajadiliana naye Pole
Naangalia kichwa cha thrd yako na maelezo uliyotoa, hakuna uhusiano. Ushamba una uhusiano gani na maandamano, na ununuzi wa ndege? Kwa maoni yangu walioandamana wanatuamusha tunaojidai kupiga kelele hapa JF bila kujulikana. Africa kusini haikustahili kabisa kukamata ndege ya TZ kwa kisingizio cha mahakama, wakati walishindwa kumkamata Al Bashir bila kujali amri ya mahakama. Ukishatazamia kufanya tukiola aina hiyo, tegemea matatizo ya kidiplomasia maana hiyo siyo ndege ya muuza gongo.
Tunaojidai kujua mbinu za kuendesha serikali, tuko bize mtandaoni kwa matusi na kuzomea, wakati wachuuzi wanajaribu hata kuandamana.
Yap! Nimewahi kudaiwa benki
DuuuuuuuhhhhAisee najisikia aibu sana kuwa mtanzania..sipati picha tukifika huko ahera tutakavyochekana kwamba "na wewe ulikua mtanzania kumbe hahahaha"
Kwa kweli sisi tumezidi ushamba sasa!
Yaani huko kushikiliwa kwa ndege moja tu ndo imekuwa nongwa hadi majitu yanaenda kuandamana?
Kushikiliwa kwa ndege kumekuwa ndo gumzo la taifa sasa! Mengine yote yamesahaulika!
Mimi si mshabiki sana wa haya mashirika ya ndege ya taifa. Najua yapo dunia nzima. Napendelea zaidi mashirika binafsi ndo yafanye hizo biashara za anga kama ilivyo Marekani.
Hii ya ndege moja kukamatwa na watu kuanza kutoa mapovu hadi kufikia kuandamana mbele ya ubalozi wa nchi inakoshikiliwa ndege hiyo ni ushamba.
Nishawahi kusema humu kuwa maamuzi ya kununua hayo madege yalikuwa ni ya papara. Na haya yaliyotokea ndo ushahidi wa papara yenyewe sasa.
Yaani ndege moja tu kukamatwa ndo ifanye watu wazima waache shughuli zao waende kuandamana mbele ya ubalozi?? Hawana shughuli za kufanya au?
Tumezidi ushamba.
Usijiskie aibu, tatizo Ni umaskini ulioletwa na ccm,ukiwauliza madini yanachangia kiasi gani ktk bajet ya taifa wanasema wewe huonoAisee najisikia aibu sana kuwa mtanzania..sipati picha tukifika huko ahera tutakavyochekana kwamba "na wewe ulikua mtanzania kumbe hahahaha"
Samaki mmoja akichacha kapuni-------Sema walioandamana wamezidi ushamba, usiseme "tumezidi" ushamba, kwani sisi Watz wote tumeandamana?!!!
Aisee kuna kaukweli ukiangalia ile video wengi wana vibegi.