Tumewekwa njia panda

Kwa miaka mitatu mfululizo tumekuwa tukiwaeleza wenzetu kuwa tumeuzwa.Ati leo ndio watu wanaamka!!!!!?????
 
Kinachowasumbua mlizoea siasa za uadui wa kupindukia - viongozi wa Ngazi ya EL kukutana na Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ni jambo la kawaida sana - fikiria kwa nini Korea Kusini na Kaskazini wanapanga kukaa pamoja? Fikiria mara ngapi Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wamekutana na kuongea, fikiria Mnangambe wa Zimbabwe kwa nini amekutana na Tshivangirai na kuzungumza??

Chama cha Mapinduzi tofauti na vyama vyenu lazima kijikite katika kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano, na maridhiano ili taifa lisonge mbele
 
Tukisema CHADEMA ya siku hizi imejaa mazuzu mnabisha.
Wengine tuliliona hilo siku nyingi tangu 2015 Mbowe alipofika bei.
Bashite kakamuliwe mbowe hawezi Amur kitu mwenyewe au una mlinganisha na Magufuli na kakundi kama fisadi wenzake
 
Haya sisi tuliyajua toka kitambo, ndio maana mlivyokuwa mnatuita buku saba na wanunuliwa tulikuwa tunasubiri muda tu ndio msema kweli.
 
Atawashukuru tu Chadema kwa kumpokea na kumuamini kiasi cha kumpiga chini Dr Slaa. Kisha atawaambia yeye ni mwana wa mabadiliko na kwa kuwa kwa sasa mabadiliko yanaletwa na Rais Magufuli basi hana budi kumfuata na kumuunga mkono. Mwisho atawaomba radhi wote walioumizwa na maamuzi yake na atawakumbusha hata mwaka 2015 kuna wanaccm walioumia vile vile!
 
Itoshe tu kuamini kwamba hatatonesha makovu ya vidonda vinavyopona.. Hatasahau fadhila. Hatawageuka wale wote waliompenda na kumwamini sana.
Mliulizwa na slaa lowassa ni asset au liability?mkajibu kwa dhihaka
Kazi aliotumwa imeisha,ile nafasi mlioichezea ya 2015,haitatokea labda baada ya miaka 50
 


Acha kuzingua, Lowasa kuna fadhila gani chadema mliomfanyia? Nyie chadema ndo mnaopaswa msisahau fadhila za Lowasa na kuanza kumtusi, heshimuni uamuzi wake, amewasaidia kuwaingezea Halmashauri, Wabunge na Wanachama hivyo wakati umefika wa yeye kuondoka pia heshimuni hilo na endeleeni na Tundu Lisu wenu kuisaliti nchi yetuc lkn usaliti haulipi!
 
Kwanini kaenda peke yake? Pengine ni haki yake
-Kwanini hakushirikisha viongozi wenzake? Kizungumkuti kiko hapa
-Alichoongea mbona kinapingana na uhalisia? Ngoja tutaona...

Kweli ujinga Sumu
 

Hahahahaaa! Post imejaa speculations za kutosha

BTW, CHADEMA haijawahi mfanyia Lowasa fadhila bali Lowasa ndiye aliyeifanyia fadhila CHADEMA. Piga mahesabu ya wabunge na majimbo mliyokuwa nayo kabla 2015.
 
 
Kweli ujinga Sumu
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Hahahahaaa! Post imejaa speculations za kutosha

BTW, CHADEMA haijawahi mfanyia Lowasa fadhila bali Lowasa ndiye aliyeifanyia fadhila CHADEMA. Piga mahesabu ya wabunge na majimbo mliyokuwa nayo kabla 2015.
 
Hahahah chezea Dkt Magufuli na CCM wewe hahahaha, poleni vijana wa ufipa, sisis huku Lumumba ni chereko chereko tu, maana kazi ilishakwisha tangu 2015
 
Hahahah chezea Dkt Magufuli na CCM wewe hahahaha, poleni vijana wa ufipa, sisis huku Lumumba ni chereko chereko tu, maana kazi ilishakwisha tangu 2015
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona mmefufuka kwa kasi kweli
 
-Alichoongea mbona kinapingana na uhalisia? Ngoja tutaona...
Wewe waajabu kweli, kwamba nchi sasa haina mkakati wa kuwa na treini ya viwango, bwawa kubwa la kuzalisha umeme, nakadhalika...! Siamini kama ume'data'...! Bali umepaniki. Ha ha haaaa!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona mmefufuka kwa kasi kweli
Lakini tuache utani mshana jr, cheki signature yangu hapo chini. Mimi nasema hilo li chama lilikufa tangu 2015. Na upinzani bongo sasa haupo, ila kuna wachumia tumbo tu.
 
That's better one....!!!
Lakini bro, hapa tunamdanganya nani? Sijui kwa nini we feel it hard to admit that our leaders made a huge mistake to pick Lowassa as our flag bearer. Lowassa had and still has nothing to benefit opposition. Tukijibu hoja alizoibua Dr. Slaa kimaamuma, tofauti yetu na vijana wa Lumumba itakuwa ni sifuri. Why have we decided to be that stupid like UVCCM? Kwa akili za aina hii wanaosema upinzani hauna nia ya kushika dola might be right. I feel pity that we've lost direction kijinga sana
 
The only problem most of us have ni kule kudhani kwamba our leaders are angels or human beings with super natural powers and can see beyond... We don't allow our brains to accept the fact that they are all normal human beings just like you and me
 
Wewe waajabu kweli, kwamba nchi sasa haina mkakati wa kuwa na treini ya viwango, bwawa kubwa la kuzalisha umeme, nakadhalika...! Siamini kama ume'data'...! Bali umepaniki. Ha ha haaaa!
Huwa sipaniki wala sidati kwakuwa mimi ndio Nimechokoza hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…