Tumewagalagaza tena CCM!!

ni Ukwega mkuu, si unapita ipalamwa then ukwega. Mi nilifika pale kikazi nikaomb kuonana na mwenyekiti nikapelekwa nikaongea naye mambo yetu na akaniuzia soya. Ni kijana hiv mweupe. Wakuu kama ni kweli basi ni kimbunga cha mabadiliko, aisee ni mbali, ndo vijiji vya mwisho kbs kijiografia kwa wilaya ya kilolo kama ukwega

Du JF bhana kweli ni noma....kila unachotaja/kuuliza unapata jibu......haya mtoa mada aje ajibu kama huyo mwenykt ndiye au mdau aliletewa mtendaji....otherze Hongera CDM, ili ushinde urais unahitaji kwanza kukubalika ngazi za mtaa,kijiji,kata,wilaya hadi taifa
 
Habari inahamasisha na kuleta matumaini kwa Watz wengi waliopoteza matumaini.
Hongera CDM. Dalili ya mvua ni maweingu.
2015 is our year!!!!
 
Makamanda wote big up na hongereni sana,lakini nahisi huzuni moyoni cause walizoea kutuibia vijijini na sasa sijui wataiba wapi tena. {masikini chichiemu wamekula ya mbuzi na tume yao ya wazee ya uchaguzi }peopleeeeeee'zzzzzzz poweeeerrrr.
 
Du JF bhana kweli ni noma....kila unachotaja/kuuliza unapata jibu......haya mtoa mada aje ajibu kama huyo mwenykt ndiye au mdau aliletewa mtendaji....otherze Hongera CDM, ili ushinde urais unahitaji kwanza kukubalika ngazi za mtaa,kijiji,kata,wilaya hadi taifa
Niko firm kwenye jibu langu!!
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!

NAWAPONGEZA WOTE WALIOSHIRIKI KUIUNGA MKONO CHADEMA HII NI ISHARA NJEMA KWA CHAGUZI ZA MADIWAN ARUSHA. Kila kamanda aendelee kutoa elimu ya uraia. Peeepoooz!!
 
HEKO CHADEMA;Huko vijijini ndiko kwa kuteka ili kujenga mtandao imara!!!!!!
Nakisikitikia chama changu cha mapinduzi,maana ndio kimeshapotea ulingoni hivyo!!!
 
Good news kwa ukombozi wa nchi, wakati wengine wanafukuzana na wengine kuvuana magamba CDM wao wanaimarisha chama. Hongera katibu mkuu wa CDM kwa kazi nzuri
 
Kabla sijaanza kushangilia naomba kujuzwa, hivyo Vijiji vipo Mkoa/Wilaya gani?
Viva Chadema, Chama Dume.
 
Hongereni CDM, ni matumaini yangu kwamba uongozi wa wilaya, mkoa hadi Taifa utashirikiana nao bega kwa bega kuimarisha chama kwenye ngazi hii muhimu sana. Kuna wenyeviti wengi tu wa CDM kwenye ngazi hizi za chini hata hawapati support yoyote kutoka ngazi za juu akiwemo Mwenyekiti wa mtaa wangu.
CDM rekebisheni kasoro hii, CDM siyo ngazi ya Taifa pekee.
 
Back
Top Bottom