Tumewagalagaza tena CCM!!

Tumewagalagaza tena CCM!!

vijiji kuchukuliwa na cdm huo ndio mwanzo na msingi wa ukombozi kwa mtnzania mlala hoi.
 
Nadhani kwa majinahayo ya vijiji hapoa itakuwa ni Iringa? au wapi jamani
 
Hiki chama kweli ni makini, kama kinaanza kufanya vizuri hata vijijini!
Safi sana!!!!
 
Oh! haleluya! glory to God.asante wananchi wa vijiji vyote vilivyo choshwa na magamba,tumesha indicator mapema kuwaonyesha jinsi itakavyo kuwa 2015,serekali ya chama cha magamba iendelee kuajilio polis kwa wingi tu kulikom walimu na wabganga
 
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Udekwa, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.

Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!

Nawasilisha!!
Mtaji wa ccm ni vijijini sasa sijui inakuwaje
 
Safi sana Chadema tunazidi kusonga mbele! Peopleee power!
 
Kwa hiyo ccm-b (cuf) wamepotea kabisa au? Mbona csikii tena zile mbwembwe za jino kwa jino na ngangali kinoma ambo ni itikadi za kiislamu?
 
Back
Top Bottom