Ndiyo mkuu ni Iringa lakini si Jimbo la Wiliam lukuvi bali ni Jimbo la Professa Peter Msolla.Nafikiri ni Iringa mkuu,natumai ni Jimbo la Willium Lukuvi
Lete wewe hizo taarifa!!Mnakoshindwa uchaguzi mbona hamleti taarifa humu???
Mnakoshindwa uchaguzi mbona hamleti taarifa humu???
Ndiyo mkuu ni Iringa lakini si Jimbo la Wiliam lukuvi bali ni Jimbo la Professa Peter Msolla.
sasa chama tawala kitatafuta " Escaping velocity "
Dah! nimeipenda hii!! Spidi 120 kwenda mbele huku ukiacha visingizio kibao!!"Kasi mtoroko"
Eti Enhee! Kama wewe Rejao ulivyoleta hii taarifa ya kushindwa kwenu CCM.Mnakoshindwa uchaguzi mbona hamleti taarifa humu???
CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!Rejao,
Kazi ya kuleta taarifa maeneo ambayo MAGAMBA wameshinda ni kazi yako. Swali linarudi kwako kwa nini huwa uleti taarifa? Ukweli ni kwamba tangu chaguzi ndogo zianze baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, mmekuwa mkipoteza Kata, Vijiji, na Mitaa mlivyokuwa mnashikilia
CCM huwa haishindi bali huwa ina - retain nafasi zake. CHADEMA inashinda kwa sababu huwa inachukua viti vilivyokuwa vinashikiliwa na CCM, huo ndiyo USHINDI!!CCM inafanya kazi...haihitaji kujitangaza! Tukisema ni kutangaza kila sehemu CCM inaposhinda server ya JF itajam!!
ok..ok...ok... CDM wanashinda then wanafukuzana!! Hii akili au matope???CCM huwa haishindi bali huwa ina - retain nafasi zake. CHADEMA inashinda kwa sababu huwa inachukua viti vilivyokuwa vinashikiliwa na CCM, huo ndiyo USHINDI!!
kweli bwana mpaka sasa wameshafukuza wenyeviti wa vijiji walioshinda 30!! CHADEMA bwana kwa kufukuzana... LOLok..ok...ok... CDM wanashinda then wanafukuzana!! Hii akili au matope???
Tarehe 18/12/2011 kulifanyika uchaguzi kwenye kijiji cha magulilwa ambapo CHADEMA tulishinda na bango lake nikalileta humu. Leo tena kuna uchaguzi umefanyika kwenye vijiji vinne vya Halmashauri ya Kilolo, vijiji hivyo ni Ukwega, Ukumbi, Utengule na Kiwalamo. CHADEMA imeshinda vijiji vitatu (3) vya Ukwega, Ukumbi na Utengule na CCM imeambulia kijiji kimoja cha Kiwalamo.
Nawapongeza makamanda wote waliokuwa Frontline!!
Nawasilisha!!
karibu tuwarushe roho safari hii hatudanganyiki anaetuvuruga yeye ndie anaeondoka.mbona mnanishawishi jamani,mjue sina chama hivyooo
hongera cdm
Nikimbunga kwa kwenda mbele,ccm kaa mkao wa kula