Mnataka kutuaminisha kuwa wakina miss chaga huwa hawafikirii sex? Oa afu uwe unaishia kumwambia nakupenda na kumpa pesa km hajaenda kukito.mbesha. Tena mm huwa nawahofia sana kipindi chao cha uvulation huwa wanafikiria sana sex, huwa najitahid kpnd hicho awe getho sema wkt mwingine pilika za maisha znaharibu.
Wanapenda ngono sema tu hisia zao kunawakati zpo mbali na huwa ni watu wa aibu kuzungumzia hili, lkn wengine wapo wazi hata humu jf tunao km huwez kuishughulikia ipasavyo papuch anakupiga chini. Kuna madem wengine wakisikia umejaliwa watajipendekeza hadi uwagonge au wengine watatafuta tu japo wakuchungulie, ss hao hawa wazi ngono labda awe msichana anae balehe ni kweli yupo tofauti na mvulana, lkn hawa makonkodi ninao wajua mimi, anakwambia dushe ndo uzima wake.