William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Hongera sana le mutuz 'Big Show'
- Na hii ni zawadi maalum niliyowahi kupewa na Mtandao huu miaka 7 iliyopita, nimekutana nazo leo asubuhi baada ya kupitia mizigo yangu iliyofika jana toka USA nilikokuwa ninaishi zamani.
I thought it to be polite kukumbushana tulikotoka unajua binadam asiyejua historia yake ya alikotokea ni rahisi sana kutojua anakokwenda.
Le Mutuz
Big Up Le Mutuz Le Big Show nini hasa sababu ya kutoka kwenye umiliki wa JF na kwenda kuanzisha Superblog?
So what is the point ...?
- Policy za Share hloding JF hazinikatazi kuwa na my own blog ambayo sasa hivi ni money mchine like never before!1
Le Mutuz
Mkuu lipi zuri lililosababisha mpaka ukazawadiwa hizo tshirts?- Ujue tupo wapi kwa sababu tulitokea somwhere na tunaenda wapi!1
Le Mutuz
- Tunawakumbusha tu Vijana humu ndani maana sometimes huwa wanasahau au hawajui tulikotoka na this game!!
Le Mutuz