Tumeshinda vita ya awali

Tumeshinda vita ya awali

Ngaliwe

Senior Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
164
Reaction score
374
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa, akiwa hai na hata katika umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!

A thing ni kwamba walijua watafuta Legacy yake hata kabla ya 40 yake. Bad luck to them, wakakwamishwa Nguvu ya Umma wa Magufulists ambao Hawa ni karibu asilimia 90 ya Raia wote wa Taifa hili.

Magufulism, Magufulication, Magufulists, iwe jua, iwe mvua, always there.

Nguvu ya Umma wa Magufulism imeshinda hila za Shetani juu ya Watu wema.

Sasa leo jamaa wanahaha mmoja baada ya mwingine kujaribu kutumia platfom mbalimbali ikiwemo hata Bunge kujiosha baada ya kushtuka kuwa zoezi la kumchafua Magufuli Duniani ni gumu vibaya mno sawa tu na kuusubiria Mguu wa bandia uote vinyweleo.

It's too late, Mioyo yetu tayari inavuja damu ya uzalendo,Hasira za Magufulism zimemea, Baada ya kumpoteza Shujaa huyu hatuna cha kupoteza tena,nkwa Mtu Ambaye yupo inferior na hatia ya dhihaka na unafiki juu ya Shujaa wa Taifa hili JPM nadhani ikimpendeza nafasi za kwenda kwenye kaburi Chato kujitakasa na Dhambi ya usaliti na unafiki ipo wazi.

Baba Pumzika kwa Amani.
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, ...alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!...
Lenin,Stalin,Kruschev,Brezhnev,
Andropov, Chernenko,Gorbachov.

Viongozi maarufu walioacha legacy, tena kubwa ya nchi yao.
......halafu nchi yao ya USSR ikafa......!
 
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa...akiwa hai na hata ktk umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed doors, ...alipofariki wakajitokeza Hadharani, shameless!...
Walikuwa na kasi ya kishetani sana hawa jamaa. Umma wa watanzania walio wengi wanakubali sana Magu, mtu awaye yote akujitokeza kumsimanga, lazima ashambuliwe. Legacy ya Magu ni ya miaka mingi mno, tangu akiwa waziri, umma ulikuwa unamfahamu utendaji kazi wake na misimamo yake; utawezeji mnafiki mmoja umchafue kwa report uchwara ya CAG?

Wahuni wale wamejisitukia wenyewe, wengine tulikuwa tunawajua uhusiano wao na Magu kabla ya kifo, vikatunizimu etc, hata wakiongea kupinga, we know them already.

Rip Magu, your legacy will reign forever
 
Magufuli alikuwa zawadi ya Mungu kwa Watanzania. Magufulism will always stand out against all imperialist and their puppets....
Watu ni wale wale wanao lazimisha magufuli apendwe , nyimbo zao ni zile zile kila uchwa ukiwachunguza utabaini hawa ni wakabila tena ni wasukuma na wafuasi wa usukuma wanao amini katika utawqla wa kitemi , ni wafuasi wa mtu na sio uzalendo katika nchi,ni wanufaika wa waliye muamini na aliye waaminisha kuwa sasa ni muda wao kula mema ya nchi na atakuwa mungu wao hapa tanzania lakini sasa wana haha maana izraeli hakupenda matendo ya huyo mtu wenu kinara wa ukabila na ubabe pamoja na dhulma na akamtwaa haraka tena kizembe kabisa,

Sasa waliachwa yaani watoto yatima wamebaki kyichukia serikali iliyopp kihalali kwa sababu ya kiwewe na hofu kwani wanajua aliyo yatenda mungu mtu wao wakishirikiana hayakuwa na mema na hawaijui kesho yao .
 
Watu ni wale wale wanao lazimisha magufuli apendwe , nyimbo zao ni zile zile kila uchwa ukiwachunguza utabaini hawa ni wakabila tena ni wasukuma na wafuasi wa usukuma wanao amini katika utawqla wa kitemi...
Hata UN kuna wasukuma saaa
 
Back
Top Bottom