Tumeshahamia Dodoma lakini...

Tumeshahamia Dodoma lakini...

Kiutendaji ni mambo yapi yaliyoboreshwa katika kila wizara au taasisi ya serikali baada ya kuwa imehamia Dodoma? Mbona tunaona mambo ni yale yale yaliyokuwepo hata kabla hawajahamia huko.
 
Nilishangaa juzi wanajeshi walipewa kamisheni wakiwa Ikulu Dar - sio Ikulu ya Dodoma. Na wanyama wamepelekwa Ikulu ya Magogoni kuboresha madhari. Kwa mawazo yangu, itachukua muda mrefu kuachana kabisa na Dar kama sehemu Ikulu ipo - hata kama ipo Ikulu Dodoma. Waingereza husema:- OLD HABITS DIE HARD
 
Hahhaaaha corona nimecheka kwa sauti hapa kwa ofisi daaaah watu mna maneno hatari
Historia na vizazi vyetu vitakuja kusema kuhusu sisi kwenye hili. Wazo lilikuwa sahihi enzi zile za mwalimu lakini sio sasa.

Nadhani tuishie hapo tulipokwishafika kutekeleza wazo la mzee wetu la 70s, chenchi iliyobaki tuiwekeze kwenye kasi ya ujenzi wa miundombinu ya umeme na internet ya uhakika, elimu, na usafiri wa haraka na rahisi nchi nzima na kuzitawanya Wizara kulingana na geografia yetu. Mfano, Wizara ya madini ijengwe Mwanza, Wizara ya kilimo ijengwe Morogoro, Wizara ya utalii ijengwe Arusha, Wizara ya elimu Dar es Salaam, nk na teleconferencing itumike kuendesha vikao mbalimbali kama ikibidi badala ya kukusanyika wote kwenye ukumbi mmoja na kueneza Corona (CoViD)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote ulivyovitaja (umeme, internet n.k) vinaenda kwa kasi zaidi kuzidi huo uhamisho. Hivyo nadhani maamuzi ya kuhamia hayajaathili kitu, wacha tuhamie maana Dodoma nako ni kwetu hatujatoka nje ya Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama internet na umeme vinaenda kwa kasi maana yake karibu Tanzania nzima inakaribia kuwa kitongoji kimoja very soon, hivyo hutahitaji kwenda makao makuu ya wizara kuhudumiwa badala yake internet na umeme vitafanyakazi bora na haraka. Kama ni hivyo hili suala la umbali na ukaribu wa Dodoma unatoka wapi? watu wataenda dodoma kufuta na kupeleka nini? Hebu tuiheshimu na kuipa hadhi nguvu ya electronic. Kuhamina Dodoma na maendeleo ya kupata umeme na internet is inversely proportional badala ya ku move parallel at the same direction.

Lazima tukiri kwamba wako watanzania wenzetu wanaotutia hasara kwasababu wanazozifahamu wao wenyewe, wanashindwa kutimiza majukumu yao ya kumshauri vizuri Mheshimiwa kwa kujuwa au kwakutokujuwa.
 
Vyote ulivyovitaja (umeme, internet n.k) vinaenda kwa kasi zaidi kuzidi huo uhamisho. Hivyo nadhani maamuzi ya kuhamia hayajaathili kitu, wacha tuhamie maana Dodoma nako ni kwetu hatujatoka nje ya Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huna akili!! Hujaipata concept ya mtoa mada!! Sasa hivi kuna video conference, kuna uwasilishaji wa bajeti wa halmashauri na mikoa kwa njia ya internet!! Kwahiyo hata makao makuu ya nchi kama ilivyo Dar yangekuwa TANDAHIMBA !!! Kusingekuwa na haja ya kuamishia makao makuu Dom, kwani hata barabara ziko vizuri lakini mbaya zaidi dhidi ya ku mkwepa adui, eti dar inavamiwa kirahisi kisa iko jirani na bahari!! Siku hizi hata HQ Ikulu ukiiweka Nanjilinji!! Utatunguliwa hata bila mkulima wa kilwa masoko kuguswa!!! So In Big Conclusion ni kwamba katika zama hizi za utandawazi hatukupaswa kuhamia Dodoma bali kuimarisha miundombinu ya mitandao na barabara!! Na ingeokoa mabilioni au matilioni ya shilingi!!! Namuomba JPM a review maamuzi ili aokoe pesa na kufanikisha miradi muhimu ya nchi. Ili tusonge mbele Yatupasa Tusonge Pamoja!!
 
Ila Dodoma inakua kwa kujengwa aiseeeee.
Maeneo yote ambayo yalikuwa yamelala ki-ujenzi, siku hizi yamekuwa kuliko ilivyokuwa mwanzo.
Tulikuwa na sehemum chache za kujirusha, siku hizi ziko kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaooooo.
Barabara za lami zimeongezeka, hata kule ambako ulikuwa hutegemei.
Shule za English Medium zimeongeza.
Mitaa ya mataaa yameongezeka.
Na madada poa nao wameongezeka.

Unafiki kama Magu aingehamishia Makao makuu Dodoma, ni mwaka gani hayo yote yangefanyika.

labla 2050
Maguuuu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, dodoma oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Wenye wivu na wasiopenda kuamia Dom ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom