Tumerudi zama za zidumu fikra za Mwenyekiti

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Usipokubali kukosorewa hautajifunza mambo mapya zaidi ya yale uyajuayo.
Daima utabaki kwenye mawazo yale yale kila siku.
Hauwezi kuwa kiongozi ukajua kila kitu.
Jitahidi kukubali kukosorewa.
 
Kwani ni lazima?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom