Kuna watu wajinga wajingz wakisema Sugu analindwa na Uhuru na Haki ya Bunge, wajitokeze kumsaidia huyu baunsa akiwa mikononi mwa Polisi
Hivi Dr. SLaa wakati anapiga kampeni Mbeya na kusema kwamba Sugu atakuwa Waziri wa Afya iwapo atashinda Urais alikuwa hamjui Sugu vizuri au alikuwa anawalaghai watu wa mbeya kama kawaida yake?
Afya inahitaji mtetezi wa aina ya sugu na sio kina yakhe kama mwinyiHivi Dr. SLaa wakati anapiga kampeni Mbeya na kusema kwamba Sugu atakuwa Waziri wa Afya iwapo atashinda Urais alikuwa hamjui Sugu vizuri au alikuwa anawalaghai watu wa mbeya kama kawaida yake?
....wewe ndio mjinga sana coz hujitambui... unakurupuka tuu kuvunja vifaa vya bunge na kusafirisha twiga njee, mikataba mibovu ya madini, kun'goa meno watu kipi ni bora?....acha kuonesha upumbavu wako hapa!!!!Huwa siyapendiii majitu kama ninyiiii kabisaaWajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Nasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
kama huna cha kuchangia kaa kimyaWajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Mwongozo unapatikana kwenye kifungu iki kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977QUOTE=LESIRIAMU;7258283]Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
mkuu kwa hiyo umeamua kuwatukana watu wa mbeya? Sugu kupigwa na askari ni sawa?Hivi Dr. SLaa wakati anapiga kampeni Mbeya na kusema kwamba Sugu atakuwa Waziri wa Afya iwapo atashinda Urais alikuwa hamjui Sugu vizuri au alikuwa anawalaghai watu wa mbeya kama kawaida yake?
hao ni wahuni, warudi wakaendeshe madanguro yao bilikanas huko
na ndugai ni msanii wa kibunge, tii teh teh!Wajinga ndiyo waliwao haka kakundi baada ya kukaa na kutengeneza bajeti ya jinsi ya kuchota hela ya chama kwa kisingizio cha kumtetea Sugu Mahakamani ndiyo wameenda kuripoti Polisi.
LISU MSANII WA KIMATAIFA
Chadema eti kila mtu mhuni sijui watu wa aina gani hawa.
nyinyi wana mbeya mlikaa lini kumshangaa huyo sugu? Wacha uongo wewe!Hivi bange inaruhusiwa kuvutwa bungeni? Hawa vijana wanalewa sifa za kijinga. Sisi wana mbeya tunamshangaa sana kijana mwenzetu kutafuna bange kama mboga. Ona sasa anavyofanya .....