Babu ndio anafuga misukule inaitwa bavichaHeri form four anayejitambua kuliko ma profesa misukule iliyojazana huko ccm haina tija kwa taifa wala chama chenu.
Hebu ona wewe mwenyewe unayejiita msomi wa ccm unavyohangaika na kamanda Sugu hapa JF kila siku kwa ujira wa buku 7! Mburulaz tu ndio mmejazana huko ccm...
Huyu Jamaa ifweero ana comment za kipunguwaniNasari na wahuni wenzako, mnapaswa kushughulikiwa na dola. Wajinga sana nyie, hii nchi ni yetu sote sio mnakula kodi zetu halafu mnafanya utoto bungeni
Heri form four anayejitambua kuliko ma profesa misukule iliyojazana huko ccm haina tija kwa taifa wala chama chenu.
Hebu ona wewe mwenyewe unayejiita msomi wa ccm unavyohangaika na kamanda Sugu hapa JF kila siku kwa ujira wa buku 7! Mburulaz tu ndio mmejazana huko ccm...
Wajinga wanadanganyana. Ni uhuni mkubwa kuvunja vifaa vya bunge na ni uhuni mkubwa kwa mbunge kupiga askari
Hatuwezi kubishana na wewe mwenye upeo wa kufikiri si zaidi ya matukio ya kujaza vyoo vya wenye nyumba.Hivi Dr.Kigwangala na udr.wake anatofauti gani na barmaid.,toka unasoma mpaka umemaliza unamchango gani kwenye hii dunia ukumbukwe kama msomi zaid ya kujaza choo cha mwenye nyumba..
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
Movie la kunyea debe utalipenda zaidi!!Ile movie ya sugu nimeipenda sana viva cdm, viva sugu, viva nguvu ya umma,, aluta contunie
Hivi Dr.Kigwangala na udr.wake anatofauti gani na barmaid.,toka unasoma mpaka umemaliza unamchango gani kwenye hii dunia ukumbukwe kama msomi zaid ya kujaza choo cha mwenye nyumba..
Wewe ulie rizki watu wanatusua yai la kienyeji ilo chichiman,pumpas unatumia Kg ngapi?,pango kama darubin la mkoloni kwel we fish...Sio bure utakuwa si rizki
Nchemba anafuga kina-elton John...Babu ndio anafuga misukule inaitwa bavicha
Bado unaleta hoja nyingi zisizohusiana na mada, sina haja ya kuwa mjuaji wakati unaongea makorokocho go to the point, sio unatajataja watu. CCM kama wanalipa au hawalipi kodi watajisemea wenyewe simama katika mada. Acha wenye akili nyingi ndio wanaopigana ktk public? hata kama mabwana zako waambie wamekosea wajirekebishe ili wafanye vizuri zaidi baadae.
Kumpiga ngumi askari wa bunge ndiyo ushujaa.
Ahaaaaa, ni kweli mkuu. Pale anaruhusiwa hata kumkobeka dole la makalio...tehe tehe tehe!
Nan abishane na wewe mwimba taarab,unachojua ni kipi zaid ya ukilaza ulio nao,kapake rangi magogoniHatuwezi kubishana na wewe mwenye upeo wa kufikiri si zaidi ya matukio ya kujaza vyoo vya wenye nyumba.
hapo alianza kwa kumuomba mungu amtangulie atoe mchango wenye manufaa kwa taifa na akaishia kutoa maneno ya dhihaka
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.
Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.
Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.
Tutawajulisha kitakachojiri
Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
Ni jambo zuri mtu kujirudi, hongera kwa hilo. ushauri wangu, zingatia maneno yaliyo kwenye signature yangu.samahan jamani watu wengine wanakera