pamoja na yote,ukweli ni kwamba kitendo mlichokifanya jana kimewatia doa.kama hamuamin tafuteni maoni ya wanaCHADEMA wote msikie wanachofikiri kuusu tukio la jana.
sasa umesema nini hapa?Hawavumi ndugai kajaribu tafuta kutoka....kaharibu..Askari kapiga boss wake alipofuatwa naye aingie gahrama za kupiga watu hovyo CCM wametuma kuripoti polisi, sasa wao wamekwenda report...ulitaka nini sasa..mbona paragraphy ya juu inapinga na ya chini.
Njie vijana wa stuli ndefu mliofuga Hips mna shida sana ktk kuongea jambo la kweli lazima mumunye maneno.....kwa jinsi mnaotesha hips km very soon hata jinsi zentu mtaanza pata shida sema straightly .
Sasa hutaki watu wakasimamie hii issue ambayo km itafika mahakamani basi aliyepeleka malalamiko akathibitishe mahakamani..
Rejea Post ya Nasari utaelewa tu, wafuasi wa namna yako ndio ambao mfalme akikaa vibaya hawathubutu kumwambia, kitendo cha jana Bungeni sio cha kiungwana na wala sio katika mambo ya kujivunia. Na hekima ikitoka kwa wapinzani ndio itapendeza zaidi, hawa jamaa kuchaguliwa kwao na wanavyotunzwa kwa pesa za walipa kodi hawakupaswa kufanya haya wanayoyafanya. Sasa mtafutwe na polisi kwa soo za maana hizi za kupigana na utuuzima wenu sio sawa. Nicholas and etal ujue tupo watu wa tofauti na mawazo yenu na wala hatutazami kunyanzi la mtu. Sasa mliyoyaleta bungeni unataka kuleta na humu ukijibiwa utatafutia watu ban hips unafuga wewe unalolijua na unafurahia wabunge wanavyomenuliwa bungeni kwani ndio kazi iliyowapeleka.
Madiba hakukaa jela kwa issue hizi bana.
una utani na ndugai wewe!Ninachoona ni mambo ya club kuhamia bungeni, hizi ndio athari za kuchagua wabunge watu wasio na sifa, hekima na busara. kupigana sio sifa ni ishara ya ushamba.
Kuna maneno kuwa baadhi ya wacheza mpira hawawezi kuingia uwanjani bila kuvuta bangi, kwa mwenendo wa bunge la sasa inawezekana kuna baadhi ya wabunge hawawezi kuingia bungeni bila kuvuta bangi, maana kwa akili ya kawaida mambo wanayoyafanya hayawezi kufanywa na mtu anayejiheshimu.
hilo maccm linawahusu kama kigwangallaha!Wapuuzi nyie hamna mambo ya kufanya zaid ya kushabikia fujo na aibu ztokeazo bungeni?ebu jiulizen n kina nan wamewatuma hapo na kwann sio kuleta itikad zenu zisizo na maslah ktk taifa hili.
wasitumie nguvu wapi? Bungeni au polis?Msitumie nguvu jaribuni kujenga hoja na haki itapatikana
jisemee wewe mwenyewe, mburula wee!Duh umejiongelea we mwenyew mpaka ukamaliza,walidai kura zihesabiwe wakazidiwa sasa alichokuwa anataka kukisema n. Kip wakat uchangiaji ulitakiwa kufanya na alitakiwa aongee Mzee Mrema?bongo lala ya mwenyekiti wako aliemuaibisha Sugu ndo umewafikisha hapo mlipoa,na msahau kuona ikulu 2015,,,,,waTz sio wapuuuz kias hko kama ww ulivo
kama ccm walivyo na akili ya ma------...Chadema wengi wanaakili ya kunguni
Tuko standby 50% kufuatilia yanayojiri hapo
kupitia mtambo mkubwa jf.
Tafadhali uwe unatudonolea yanayojiri !!!
bado hakuna kitu hapa...kwani nani hajui utovu wa nidhamu kuwanzia kwa ndugai hadi kwa askari wa mule ndani...walitaka wakamshike mbowe bil adabu ka vile hawakuwa na adabu..na wala hawakujua km hata kutoka mbowe alikataa au laa....waliombiwa wamwache km "kauli ya yule nyapara Nkamia kuwa haongei na mbwa ila mwenye mbwa kwa sugu askari wenu waliochanganywa na usalam siku hiyo wakampiga sugu.." kukosa adabu kwingine kulipochafua hali ya hewa...Kwa sasa weze na cholestrol limefika ktk ubongo ukaona uhukumu effects....Sasa km ktk kufanya kazi iliyokuleta bungeni CCM wanakufikisha ktk mazingira km haya ulitegemea wafanyeje km si kupambana na hiyo hali,ili kuweza rudi ktk kazi ambazyo inawatisha sana CCM.
SI UTANI NACHUKIA SANA VIJANA WANAFUGA HIPS KULIKO GIRLFRIENDS WAO..WANATUPA SANA SHIDA ,TUNAPOHITAJIKA WASAIDIA MAJUKUMU WANWAKE WANALIA SANA WANEMUE NUSUNUSU HAWA WANA TAABU KUANZIA KUAMUA HATMA YA VIJANA HADI UNYUMBA NA JINSIA ZAO......Mbaya hata akili zao nazo zinaharibiwa na cholestrol...hata ktk maamuzi magumu na maendeleo ya nchi mpo shallowa sana..mnatupa sana kazi...rudi kwenye stull ndefu ukakutane na vilaza wengine .
Hivi Sugu alikurupuka tu kama kichaa akamtandika huyo poliCCM bila sababu??
Soma post yangu vizuri mbona mie nazungumzia kilichotokea wewe unataja yasiyokuwepo, maamuzi magumu ndio haya?View attachment 110833
kuna maendeleo gani yanaletwa kwa mtindo huu sasa hapa nani yuko shallow au kilaza? mbona wewe ndio unaonekana akili zako zimeharibiwa na cholestrol zaidi manake mwanaume hawezi jibia mwanaume mwenzie. Aliyepost kaelewa wewe ndio unatoa povu, we kazi akupe nani na utamletea maendeleo nani kama mawazo yako yenyewe ndio haya.
unatia huruma sana kwani hata unachotaka achieve hujui....nimekuambi km CCM wameamua fanya bunge ligeuke na kuweka vikwazo vya kufanya kwa kiasi ch akuleta hii hali wabinge wa CDM hawkauwa na njia nyingine zaidi ya kudela n ahali iliyopo ndipo waendeleena majukumu.
Wewe kwa akili yako wapi umeona CCM wanakwenda fanya kazi waliyotumwa?umeona wanavyopitisha, wanavyotete na kufanya wizi?Ndio uliwatuma hivyo.Wewe chelestrol imekumaliza akili..unalaani effects na victim badala la cause?
Hao askari wakitanzania wakipewa amri huwa hawana reserver ya akili.....wewe ni Zitto nini?kwani Sugu anakukata sana stim haswa unapojaribu linganisha elimu yake na yako, halafu ukirudi ktk performance.
kwani umeambia nina conflict na aliyepost?Au kaelewa nini sasa kwa vile kalala hajachangia?...unayo kazi sana.Mimi sichelewei kukupa live.Mnatuchosha kila mahali kwa chlestrol zenu zikichangiwa na makuzi ya stori za bar, na story za circle za wazee wenu wanapopeana habari kwa kuvizia kwa mashindano ya kuzungakana..hazina ukweli.Lazima uwe kilaza unayeishi kwa "Analysis za clouds FM" power breakfast ndio inaendesha serikali.
Acha utoto wewe...gia ya kushikilia wengine hawakuelewi ili uonekane kuwa mjuaji ni ya wanasiasa fulanifulani....ktk niliowataja hapo juu...Udogo wakili yako ndio unakupa shida kuswitch rapidly with multiple parameters bila kupotea..Umewahi jiuliza kwanini hueleweki?haiwekani kuretionalize irrational halafu ukabaki na irrationality.Unaandika ujinga sana kwa mwenye akili timamu kuulewa na si lingine.Bado hujaelewa inaonekana unaugomvi na watu wengi mara CCM, Zitto, Clouds FM, PB mie nimechangia post na ninachokiona wabunge bado hawajatimiza wajibu wao kwa kufanya kilichotokea jana kwani kulikuwa na njia bora zaidi. As a Taxpayer, sikubaliani na namna kodi zetu zinavyotumika kwa vitu visivyokuwa na Tija. Ugomvi wa namna ile bado haukustahili. Haya ndio mawazo yangu na siwezi kukuzuia usiwe na mawazo yako, inawezekana mawazo yako yakawa bora zaidi lakini siwezi kufikiri on your way. Mimi nitaendelea kuwa mimi, na kama umeamua chlestrol ikumalize inawezekana uko sawa na endelea si ndio ulemavu wako.