Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

Joined
Apr 8, 2013
Posts
5
Reaction score
143
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Ni saa tatu kasoro usiku, bado tuko polisi tangu saa kumi na moja kasoro.
 
Tumeanza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
Hivi Mh Nasari, hata kama Mh Sugu angemvunja huyo policcm meno yote ya mbele, si kwamba Mh Sugu alikuwa kwenye eneo la kinga ya kibunge? Naomba muongozo
 
Baada ya KUB kusikia!!!!??????
Time is far ahead!!!!

Promptness,promptness,promptness..
 
Ni uamuzi mzuri,kwani vyombo vya habari,vilikuwa vimeshalikuza sana jambo hilo!utadhani amefanya kosa la uhaini.
 
Tuko standby 50% kufuatilia yanayojiri hapo
kupitia mtambo mkubwa jf.
Tafadhali uwe unatudonolea yanayojiri !!!
 
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Pamoja sana Kamanda
 
Mwambie Mhe Sugu asiwe na wasiwasi Mapokezi ambayo watu wa Mbeya wanaandaa zitakuwa salamu tosha kwa Ndugai & co
 
Baada ya Mwenyekiti na KUB Mbowe kusikia kuwa Sugu anatafutwa na polisi, jioni hii tumeamua kuripoti makao makuu ya polisi mkoa wa Dodoma ili kuondoa sintofahamu iliyokuwepo.

Tumeripoti na Mhe. Mbowe, Lissu, Sugu, Mnyika na Mimi mwenyewe.

Kwa hatua ya sasa Sugu anaandika maelezo kwa RCO akisaidiwa na wakili Tundu Lissu.

Tutawajulisha kitakachojiri

Ndauwo poleni sana, yani ninahasira na hao magamba, safari hii nikikutana na Ndugai haki tena nampa ngumi ya Uso potelea mbali acha wanipe kesi nyingine!
 
Back
Top Bottom