- Thread starter
- #21
Matusi,Kanywe nae chai mkuu.
Matusi,Kanywe nae chai mkuu.
Nadhani hao maprofesor mmoja ni wa kumrith AyubuHuyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.
Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.
Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.
Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.
Namuombea kila la kheri popote atakapokua.
Aliyakuta, abomoe?Ametenda haki gani kwenye ardhi? Nchi imejaa makazi holela na mipango mibovu ya miji ndo unadai ametenda haki?
Shida ya Lukuvi anautaka Urais ndio shida yake kwa mama nadhani.No man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.
bila kusahau amefuta na kupuunguza migogolo ya ARDHI kwa 90%Huyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.
Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.
Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.
Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.
Namuombea kila la kheri popote atakapokua.
bila kusahau amefuta na kupuunguza migogolo ya ARDHI kwa 90%
kuna wale wajinga wanajiita WAVAMIZI aliwapoteza kabisa
HEKO kwake mkuu
Haaa usitaje miaka ndio kigezo ujue pana waziri yupo unajua umri wa captain Mkuchika ambaye bado ni waziri wa kazi maalumu Ikulu?!ana miaka 66
ni mda mzuri wa kustaafu, apishe damu mpya
No man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.
Mama yeye anavurugu tu ..anatoa mtu mKini analeta kituko tusubir tuoneHuyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.
Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.
Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.
Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.
Namuombea kila la kheri popote atakapokua.
Alitahidi wapi, alikuwa anaongea sana vitendo 0,ametuletea madalali kupima tumetoa hela zetu mpaka leo kimya.....kelele nyingi vitendo zeroMzee alijitahidi sana ila basi tu
Ujenzi holela unaendelea kila kona ya Tanzania.....km alishindwa kusimamia suala la mipango huyo ni failure km failure wengine ni haki yake kutumbuliwaHuyu Mzee sikuwahi kumkubali kote alikopita, lakini kwenye ardhi, ameitendea haki ipasavyo ile nafasi.
Naamini hata kama ameenguliwa kwa majungu au kupishana na wakubwa, kazi kubwa aliyoifanya itampa faraja huko aendapo.
Ametatua matatizo mengi sana na kuiweka sawa wizara, upatikanaji wa hati, urasimishaji ardhi n.k pia hakua muongeaji sana kwenye media zaidi ya kazi zake kuonekana.
Nikatika kipindi chake tumeona watu wakipata hati bila gharama kuzidi 1M kwa viwanja vya kawaida kulingana na ukubwa kitu ambacho awali ulikua unaliwa pesa nyingi na bado hati hauipati.
Sijajua kama u spika utamfaa ila ingekua ni maoni yangu, asingetolewa ardhi akakamilisha kazi nzuri aliyoianzisha.
Namuombea kila la kheri popote atakapokua.
Ameomba kupumzikaNo man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.
Acha apumzike wengine wale, huyu yupo zaidi ya miaka 20+ kwenye kabineti............
Ujenzi holela unaendelea kila kona ya Tanzania.....km alishindwa kusimamia suala la mipango huyo ni failure km failure wengine ni haki yake kutumbuliwa
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
mfano ingetokea akafa,hiyo wizara ndio ingekuwa mwisho wake! au?No man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.
Hyo ni spika wa bunge ajae, subiri uone.No man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.
Ashakula inamtosha!! Kwani hii nchi si kula tu!!!?No man is infallible, all men are falible Binadamu hatukosi kasoro. Lukuvi alikuwa mzuri kwenye ardhi. Kama naye Ni kundi la Sukuma, Basi Ni kumuita na kumuweka sawa . Alikuwa mtendaji mzuri.
Pole Bw Lukuvi.