Tumepima Afya ya akili na mchumba Wangu haya ndo majibu tuliyopewa so sad

Habari zenu humu ndani.

Baada ya kunyanduana Kwa muda sasa tukapima kila kitu ikiwemo Afya ya akili lkn mwenzangu kichwa ya mwenzangu ina hitilafu.Najipanga namna ya kumkwepa lakini kaniganda nifanyeje?
Dah..nimecheka sn hutu tu-uzi

Lkn kitendo cha kuanza kumkwepa mwezi wako badala ya kumsaidia utaonekana km wewe fyuzi ndy zimekatika badala yake
 
Yaani baada ya kumchakata kikamilifu, umeamua kumtosa hivyo ukaenda kwa mshkaji wako Dokta ili atengeneze ripoti ya uchizi.

Unaugua wewe.

Nasema hivii, utamuoa dada yangu au la utatuona mashemeji nuksi
 
Dah..nimecheka sn hutu tu-uzi

Lkn kitendo cha kuanza kumkwepa mwezi wako badala ya kumsaidia utaonekana km wewe fyuzi ndy zimekatika badala yake
Dokta kanishauri nimpeleke akaanze ushauri kuna kituo maalum Arusha na dawa Fulani zitakazo mfanya awe mtulivu sana.Nimempeleka Jana tulivyofika gesti tuliyolala Jana Stendi ya Arusha usiku kaninyima Kabisa anasema ana wasiwasi nitamkimbia aliongea Mwenyewe muda Mrefu mpaka nikapitiwa na usingizi.Leo tupo Korogwe lkn hana raha nikishika Simu yangu ananipokonya Kwa ukali
 
Itakuwa hata wangu nae ana ugonjwa wa akili,akihisi namcheat anajaribu kujitoa uhai nikimuokoa anaamua kupambana na mimi,baada ya hapo huwa analia karibia wiki nzima
 
Ndugu nilikuwa nachukulia poa hili jambo baadae nikaona tabu sometimes napiga puchu lkn Nina demu kila hitaji anapata mpaka nilipothibitisha kuwa ni hitilafu kichwani.Nimefanya tafiti kwa wenzangu wanazinguana na wenza wao lkn si kwa kiwango cha huyu wangu.Pia napata tabu kumkimbia kwani ni chombo kizuri si kitoto ananidatisha na kukamua migundi kisawasawa lkn da
 
Back
Top Bottom