Tumepeleka wapi vichwa vyetu? Hivi ni kweli mchakato wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake ulikamilika kwa vigezo vyote vya kikatiba?

Mkuu umeeleza na umeeleza vizuri kabisa. Hapa hoja ni kama mchakato wa kufukuzwa ulihitimishwa inavyotakiwa kikatiba.
Hebu nisome vizuri, huenda jibu langu (kwa maoni yangu) liko tayari hapo juu.
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Utakuwa huna akili timamu kama watu wenyewe wanakiri kufukuzwa lakini nyie mnawalazimisha.
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Hebu soma upya post yako halafu ujifanye ni msomaji mwingine! Unaona post imekamilika kueleweka na kushawishi??
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Wabunge wameapishwa bila chama kuwaidhinisha bado tu unasema wanastahili kuwa wanachama, msimamo wa chama ulikua upi? Kama wamekiuka msimamo wa chama obvious hawako tayari kuwa wanachama, ni swa na wewe ufanye kinyume na mkataba wako wa ajira halafu ufukuzwe
 
ni sawa ila lazima mchakato wa kunifukuza ukamilike
 
Mkuu umeeleza na umeeleza vizuri kabisa. Hapa hoja ni kama mchakato wa kufukuzwa ulihitimishwa inavyotakiwa kikatiba.
Kwakuwa umeshasema wataendelea kuwa wabunge kutaka tusitake ngoja nikuache.
Ila unauelewa mdogo sana.
Christopher bagen yule wa case ya zombe amepata rufaa mahakama kuu hivi tunavyosema yupo wapi ??? Nje au gerezani kwakuwa mchakato wa rufaa haujakamilika?
Hivi ulisoma wapi wewe jamaa.
 
Mkuu mtu aliyehukumiwa kufungwa anapokata rufaa kwa utaratibu wa magerEza kifungo kinasimama anatoka kuwa mfungwa na kuwa mahabusu ila anabaki gerezani kama ambavyo wale walioKo gerezani kama mahabusu kama wale makshehe wa uamusho au Rugemalila na Seth.
ISIPOKUWA waliofungwa wengi huchagua kuendelea na kifungo chao kwa tahadhali isije rufaa yao ikatupwa wakawa wamepoteza mda
Kwa swala la akina Mdee kuacha mshahara matamu wa ubunge kwa sababu ya kusubiri rufaa yao huku nyinyi mnajivutavuta kuitolea uamuzi kuwanafaidisha huku nyinyi mnakeleka na la kufanya hamna. Mnakwama wapi?
 
Back
Top Bottom