Tumepeleka wapi vichwa vyetu? Hivi ni kweli mchakato wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake ulikamilika kwa vigezo vyote vya kikatiba?

Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Haujakamilikaje? Ebu fafanua
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Achana na Covid 19 mkuu. Jikinge nayo!!! Malimao, tangawizi na pilipili kwa wingi.
 
Back
Top Bottom