Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.
Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.