Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
- Thread starter
- #41
Upinzani bado upo tena imara sana kwa kila mwaka uchaguzi. Pia angalia kila mwaka wa uchaguzi wabunge wa upinzani wanaongezeka pamoja na nguvu kubwa serikali inayofanya kwa kuleta hila za uchaguzi.Upinzani ulisha kufa tangu 2015, Hatuna mpango wa kuifanya nchi shamba la bibi Kama ilivyokua fedha za Ruzuku za wabunge wa Chadema.
Lakini kwa mwaka huu imetosha,upinzani(CHADEMA) lazima watashinda kwa upande wa bara na upande wa visiwani lazima CCM ikabidhi kwa Seif.