Uchaguzi 2020 Tumekwisha kuona rangi zake. Je, anastahili miaka mitano mingine tena?

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
988
730
Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.

Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.

Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.
 
Kiukweli tukimpa hii mingine tutakuwa tumepotea. Atazidi kuwa dictator zaidi, pia wale wote tunaompinga na kumkosoa tutakula ban ama kupotezwa. Kama ilivyo tokea kwa ben saanane na wengine.

Mungu ibariki Tanzania na Watanzania ili tarehe 28/10 wasirudie makosa.
 
Kumchagua tena huyu mtu ni
Kuweka vijana wa kitanzania katika wakati mgumu sana kiuchumi na kimaisha.

Tena anataka kubadili katiba kuwa Rais siiye na kikomo cha utawala.

i.Anaisigina katiba atakavyo
ii. Watu wanapita bila kupingwa.
iii.wapinzani wanakatwa hovyo kwenye chaguzi.
iv. Kununua wapinzani.
V.kuteka kubambkia kesi wapinzani kuwafunga kuwadhurumu mali na vitisho rukuki.

JIWE OUT
 
Nchi haifanyiwi majaribio kwa kukabidhiwa kwa washamba wa wazungu kila kukicha ni kulia lia na kutetea mabeberu
Acha hofu uongozi ni kujaribiwa hakuna mtu special kwenye uongozi. Pia hutoweza kumjua yupi anafaa pasi na kumjaribu.

Sawa sawa na madereva huwezi kumpa leseni pasipo kumtest udereva wake kama anafaa. Hiyo ndiyo maana halisi ya uongozi.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Nchi haifanyiwi majaribio kwa kukabidhiwa kwa washamba wa wazungu kila kukicha ni kulia lia na kutetea mabeberu
1600313979815.png
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
Ndiyo maana tunasema imetosha. Pia imetosha kuona bunge likinajisiwa kama bunge lilopita la ndugai. Sasa inatosha.
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom