Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
- Thread starter
- #61
Umemuelewa vibaya.Kama unavyeti feki uachwe tu kazini,eti kwasababu ukitumbuliwa Lissu ataongea kwa huzuni?
Umemuelewa vibaya.Kama unavyeti feki uachwe tu kazini,eti kwasababu ukitumbuliwa Lissu ataongea kwa huzuni?
Hakuna kufanya makosa tena awamu hii.Ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya konddooo. Watanzania tusiingie kwenye mkenge tena.
Kuwabambikia kesi wapinzani kutazidi mara dufuKiukweli tukimpa hii mingine tutakuwa tumepotea. Atazidi kuwa dictator zaidi, pia wale wote tunaompinga na kumkosoa tutakula ban ama kupotezwa. Kama ilivyo tokea kwa ben saanane na wengine.
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania ili tarehe 28/10 wasirudie makosa.
CCM hutumia pesa nyingi kukandamiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha wapinzani badala ya maendeleo ni vigumu Tanzania ipate maendeleo katika mfumo huu wa hovyo na kishetaniCCM ingekuwa imetoka madarakani mapema tungekuwa mbali sana,kuendelea kuongozwa na CCM tumesimama kimaendeleo ambapo tungetakiwa tuwe miaka 50 mbele huko!Yaani maendeleo tutakayokuwa nayo 2070 ni maendeleo ambayo tulipaswa kuwa nayo leo!CCM ni dimbwi la umasikini kwa watanzania!Wote wezi tu na wanaiba kila mmoja kwa stye yake!
Ruzuku ya CCM inapigwa kifisadi na siku wakiruhusu CAG aingie huko CCM wataenda kukamatwa mpaka akina Yusuph makamba kinana na akina polepole na wenzao, CCM kuna ufisadi wa kutisha na kisingizio kikubwa cha ufujaji wa pesa za CCM ni kudai wanazitumia kudhoofisha chadema,Kabla ya kuwapa nchi Chadema ili kujaribu,turejee kwanza ndani ya Chama chao,ofisi ya makao makuu ya chama chao yapoje,wao wenyewe viongozi wanatamaa ya kiasi gani mpaka wananunulika kirahisi,michango ya pesa za wabunge na ruzuku ya chama Mbowe kazisimamiaje n.k.
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuingia rasmi mwaka 1991 ilipaswa majengo ya CCM yagawanywe kwa vyama vya upinzani kwa usawa lakini mpaka sasa CCM imekalia mali viwanja majengo ya vyama vyote kienyeji pasipo kuwagawia tokea mwaka 1991, chadema hawaitaki ofisi ingine kwani wanajua ofisi zao zipo kwenye majengo waliyopora CCM kienyeji pasipo idhini ya vyama vyote vya upinzani.Kwahiyo kuwakukumbusha Chadema chama kinachotaka kuchukua serikali wawe na ofisi makao makuu ya kueleweka ni porojo?
Kuhoji jinsi Mbowe anavyofuja fedha za Chadema ni porojo?
Kuhoji kwanini viongozi wa Chadema kama Mnyika na wengine ni wepesi kununulika na wanalala Chadema wanakula CCM ni kosa?
Hahhah.....itakuwa pressureNasisitiza wapimwe afya wagombea wanaowania ridhaa ya kuiongoza nchi. Maana mgombea mmoja msafara wake nasikia nusu ni madaktari 😎
HAHITAJI HATA MWAKA MMOJA MWINGINE HUYO TAPELI MAGUFULI.Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.
Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.
Na CCM et-al wakubali kuwa na sheria zinazo ruhusu udhibiti wa viongozi, mtu mmoja kuwa alpha na Omega ni hatari. Hii ni muhimu kwa ngazi zote za uongozi.Bunge likivunjwa, nchi ikabidhiwe kwa Jaji Mkuu mpaka baada ya uchaguzi Rais atakapopatikana. Hii itawapa wagombea wote a fair game.
Philosophize!😁🤣🤣Uhalisia ni upi?
Ndio tutakwishaKuwabambikia kesi wapinzani kutazidi mara dufu
Wanasema ni Oedema hiyo kutokana na liver and kidney dysfunction aaccording info za kilogiHahhah.....itakuwa pressure
Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.
Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.
CCM imejiandaa kushinda kwa hali yoyote. Ilipoka uenyeviti mitaa na vijii, itapoka udiwani, ubunge na urais. Hapatakuwa na wa kumwambia hapo mnapotea, na ndio muendelezo wa anguko la uchumi na maendeleo ya nchi kwa ujumla. Historically tawala za aina hii haziondolewi kwa sanduku la kura, bali kwa nguvu ya umma. Na kwa Tanzania hatua hiyo bado sana.Binafsi kwangu inamtosha, tuwape wengine tuone. Sisi sote ni wamoja tuwape CHADEMA nao tuone.
Kuna watu wachache wanasema uongozi haujaribiwi! Miaka yote uwa tunawateuwa viongozi wetu kwa kuwa jaribu katika nafasi zao wanazotuomba tuwape kura.
Ndani ya vipindi vyao vya uongozi ndipo tunakuja kugundua ya kuwa awafit. Mfano mzuri kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa mtukufu wetu.
Yeye ameshindwa kuongoza kwa kushindwa kutambua na kutofautisha kati ya uongozi na utendaji.
Uongozi Umekuwa kama udereva lazima wakutest kisha upatiwe leseni ya kuweza kuendesha abiri.
Mimi mgeni huko😷Wanasema ni Oedema hiyo kutokana na liver and kidney dysfunction aaccording info za kilogi