Tumekumiss baba

Tumekumiss baba

Troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,834
Reaction score
40,649
764e8a41cc9930e2b8bd985b0ac423b8.jpg
 
bora mrema aongee naye ingawa naye mrema pumz imekata yupo kimyaa au anapga kaz bila camera saa hz
 
Huyo sinunui habari yake. Ni moja kati ya watu waliotukwamisha kufikia hapa tulipo.
1. Kakwamisha katiba mpya kwa maslahi ya chama chake.
2. Kavuruga uchaguzi wa Zanzibar kisanii japo analaumiwa Jecha
3. Chini ya uongozi wake tangu akiwa waziri mpaka ukuu wa kaya mikataba imekuwa ni mibaya hasa kwa taifa.
4. Ufisadi ulitamalaki hasa kwa makada wengine wakiiba mabilioni na kuhukumiwa miaka miwili jela na wengine wakibemberezwa kurdisha bila mafanikio
 
Lakin stil pesa ikaonekana

Whats wrong kwa Brother Juma Poor Manager kaziba mianya yote kisha bado mnacomplain hali ngumu?

Majibu Please.
Huyo sinunui habari yake. Ni moja kati ya watu waliotukwamisha kufikia hapa tulipo.
1. Kakwamisha katiba mpya kwa maslahi ya chama chake.
2. Kavuruga uchaguzi wa Zanzibar kisanii japo analaumiwa Jecha
3. Chini ya uongozi wake tangu akiwa waziri mpaka ukuu wa kaya mikataba imekuwa ni mibaya hasa kwa taifa.
4. Ufisadi ulitamalaki hasa kwa makada wengine wakiiba mabilioni na kuhukumiwa miaka miwili jela na wengine wakibemberezwa kurdisha bila mafanikio
 
Na ndiyo maana Mungu anawaumbua kwa unafiki wenu mlimtuhumu sana kaua uchumi ufisadi dhaifu hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi mkamuita vasco da gama leo hii jitu bila aibu tumekumiss baba mimi nasema na bado miaka 4 mtanyooka tu
 
Huyo sinunui habari yake. Ni moja kati ya watu waliotukwamisha kufikia hapa tulipo.
1. Kakwamisha katiba mpya kwa maslahi ya chama chake.
2. Kavuruga uchaguzi wa Zanzibar kisanii japo analaumiwa Jecha
3. Chini ya uongozi wake tangu akiwa waziri mpaka ukuu wa kaya mikataba imekuwa ni mibaya hasa kwa taifa.
4. Ufisadi ulitamalaki hasa kwa makada wengine wakiiba mabilioni na kuhukumiwa miaka miwili jela na wengine wakibemberezwa kurdisha bila mafanikio
Pumba zako pikia mbwa wale...!!
 
vp on other hand? na mazurii aloyafanya je? kila mtu na mapunguf.
 
Back
Top Bottom