bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Nesi mmoja aliachiwa maagizo na ndugu
wa mgonjwa ikifika saa 8 ampe mgonjwa
chakula.. Yule nesi kabla ya saa 8 akala
yeye chakula.. Ilipofika saa 8 kasoro yule
ndugu akapiga ikapiga cm akasema ikifika
mda wakula umlazimishe humo kuna
sumu tumekubaliana kwamba afe hatuna
hela ya kumpeleka india..
Unajua kilichotokea kwa nesi?
- itaendelea ngoja nikaoge kwanza . . . .