Tumefungiwa barabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumefungiwa barabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Benno, Jul 6, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumekaaa kwa muda usiopungua masaa mawili tukiwa tumefungiwa barabara ya kutokea Tumaini Hospitali, hatukuambiwa chochote kinachoendelea, lastly tukaamua kumfuata askari maarufu kwa KKSECURITY, simple answer ''''HAPA KUNA BOSS WA DHEHEBU LA AGHA KHAN ANAINGIA LEO NDIO MAANA HII ROAD IMEFUNGWA''''''

  Hakuna trafic wala polisi wakutusaidia: Basi nikakumbuka usemi wa wanasiasa unaosema mkubwa mpishe.
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Poleni sana, hii ndo Tanzania na mfumo wa Darwinism!
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Imenibidi nicheke! watu mnafikiri mbali sana dah!!
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Na bora mlitulia. Si mumeyasikia ya Mwanza?
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ama kweli...
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Upanga ni ya wahindi... njoo mlandizi twapita kirahisi tu ati
   
 7. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Survival of the fittest!...
   
 8. B

  Benno JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa huku nitaenda wapi na mimi nafanya kazi Huku Baharini
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Je aliyezuia magari ni askari polisi au hao auxi Police.

  Kwani kwa mujibu wa sheria za Tanzania mwenye uwezo na dhmana na kuongoza au kusimamisha magari njiani ni Asskari polisi pekee na si vinginevyo.

  Mthalan Leo asubuhi wakti natoka Upanga kwangu (mtaa wa Ali khan ) kuelekea airport ili nije hapa Zanzibar nilishangaa vingora va askari magereza wakipelekwa wafungwa mahakamani na magari yalikuwa yanawapisha tena kwa lazima. Llooh haya ni matatizo ya kutojua sheria za nchi yenu.

  Poleni
   
Loading...