Tumechoka na habari za Lowassa!

kama mmechoka sisi tufanyaje?
A S-coffee.gif

Rtz,
Shikamoo Mkuu. Nimekuona leo Karimjee kwenye foleni ya kumuaga Jeremia Sumari!
 
Shine kuna watu humu wanatafuta laana za vizazi vijavyo na vilivyopo hivi sasa because katika miaka mitano ijayo PESA haitakua kila kitu manake wasomi watakua wa kumwaga na huo upuuzi ndio utakua TASK yao ya kwanza , Bob Marley mwenyewe aliwahi kusema U CAN FOOL SOME PPLE SOME TIME BUT U CAN'T FOOL ALL THE PPLE ALL THE TIME!

Watanzania tuliobahatika kutambua uozo na upuuzi wa hawa mafisadi tutahakikisha hata wale wasiojua wanajua na kuelewa hata kama ni kwa kutumia vipaza sauti poa tu kheri kuonekana mwendawazimu kuliko kuongozwa na mwizi anaekuibia mchana na usiku huku baadhi yetu WAKIMLAMBA MAKALIO FOR THE SAKE OF MONEY!!!!!.....................By the way hizo hela anazotoa ni kodi zetu wenyewe na nyingine ndio hizo za malipo ya Dowans endeleeni kuchekelea vijisenti vyenu wenyewe mwisho mnafanywa kama wase..........!!
 
Tumechoka na mipango mbalimbali inayofanywa kwa lengo la kumsafisha waziri mkuu mjiuzulu Edward Lowassa!
Hivi ni sababu zipi za msingi za kumsafisha Lowassa ambaye tayari ameshachafuka wakati kuna watu wengi tu wenye sifa za kushika hizi nyadhifa ambazo Lowassa anang'ang'aniziwa? CCM wanamuita gamba, CHADEMA wanamuita fisadi! Je, sisi raia wa kawaida kwa nini tunamng'ang'ania Lowassa? Hivi watanzania kiongozi lazima awe anahonga watu pesa na vijizawadi ndo achaguliwe? Lowassa amekuwa mzigo, hatufai! Siyo lazima Lowassa awe rais wa Watanzania! Wanamsafisha Lowassa wafikirie mara mbili mbili!
Naweka jamvini..!!

Kwa kweli tumechoka. Na mbona alikaa kimya kwa miaka karibu mitatu na sasa anasema ovyo?
 
Sema umechoka wewe! Umma wa watanzania unamhitaji sana Lowassa.

Tumechoka wengi tu ila wewe unayefikiri kupitia masaburi na wenzako wachache mnaona fisadi EL anawafaa kwa vile maisha yenu yanategemea viposho vyake wavivu wa kufikiri nyie.
 
mama yako angekuchoka ukiwa tumboni na wewe si ungekuwa unanukia chooni saa hizi
acha kuchoka mapema nyie hata vitandani mnaaingia dk 5 mmechoka wanawapigia wakina kim didy ii
Mwache Rais wetu mtarajiwa bana kama umechoka wewe zima komputa lako lala easy
ubarikiwe
 
Sema umechoka wewe! Umma wa watanzania unamhitaji sana Lowassa.

huku kwetu hakuna hata mmoja anayemhitaji, nashukuru jamii yetu wameelimika, kimsingi wanajua wamebaki wale wasiojua ndo wanamkubali ukiwauliza wanakwambia mtendaji, kafanya nini utasikia city water na shule za kata basi imeishia hapo na huo ndo utendaji, ukiwauliza habari za lunchi za taifa, ufisadi wizara ya mifugo, wizara ya ardhi make ndo migogoro ya ardhi imeanzia kwake hadi kauza kiwanja cha mwinyi, richmond, mvua za kutengeneza hadi mwenzake thailand alifukuzwa, njoo hapa mjini zungumzia alfa!du huyu jamaa mungu atamlipa tu!
 
Shine kuna watu humu wanatafuta laana za vizazi vijavyo na vilivyopo hivi sasa because katika miaka mitano ijayo PESA haitakua kila kitu manake wasomi watakua wa kumwaga na huo upuuzi ndio utakua TASK yao ya kwanza , Bob Marley mwenyewe aliwahi kusema U CAN FOOL SOME PPLE SOME TIME BUT U CAN'T FOOL ALL THE PPLE ALL THE TIME!

Watanzania tuliobahatika kutambua uozo na upuuzi wa hawa mafisadi tutahakikisha hata wale wasiojua wanajua na kuelewa hata kama ni kwa kutumia vipaza sauti poa tu kheri kuonekana mwendawazimu kuliko kuongozwa na mwizi anaekuibia mchana na usiku huku baadhi yetu WAKIMLAMBA MAKALIO FOR THE SAKE OF MONEY!!!!!.....................By the way hizo hela anazotoa ni kodi zetu wenyewe na nyingine ndio hizo za malipo ya Dowans endeleeni kuchekelea vijisenti vyenu wenyewe mwisho mnafanywa kama wase..........!!

mabadiliko tanzania itakuwa kazi sana kaka kama wanaojiita wasomi wanadiriki kumfikiria mtu mwenye questionable intergrity kuwa rais!lowasa he can not make a good presindency!sidhani kama hawa wanamhitaji hawajui ubovu sema vijisent anavyoonga na kutojua mambo ndo kiini cha kelele, hamjiulizi walioichagua ccm kwa kuhongwa kanga na sukari je bado wanatumia?umeme wana special rate? wana ruzuku kwenye sukari au wote tunataabika? bila kuwa na fikira pevu utaangamia!ukiweza kufikiria miaka 10 20 50 mbele nadhani kila kitu utakifanya kwa usahihi!
 
Back
Top Bottom