So hatuna sababu ya kuwa na rais, is this what u mean? Kwa Kikwete is like hatuna rais. Na unayosema ndio yanayotokea, kila mtu anafanya analowezaKikwete akibaki ndani ikulu utaongezwa mshahara?paye itapungua?akienda asiende kila mtu na staili yake ya maisha as long as ni rais wetu.b concernd na maisha yako ya familia yako,au unataka kikwete akuletee gari?hakuna serikali duniani inayomsaidia mtu afanikiwe if ur waiting for that am sorry ur in a wrong place.nakumbuka sunday school tulikuwa tunaimba kila mtu atabeba msalaba wake ....wako unataka umbebeshe kikwete,,mbona watoto wako nao wanakulalamikia oohh baba cku hizi atulii nyumbani?kwa nini hutulii nyumbani?oohh huna ela..sawa na presida nae ndo ivo kama wewe unavyowafanyia ktk familia yako kurudi watoto wamelala
Kama umenipata vyema nazungumzia majukumu ya Rais, mimi nafanya wajibu wangu kama mtanzania, nilotaja ni majukumu yake ambayo ameshindwa kuyafanyaWewe kama mtanzanaia umeifanyia nini nchi yako? Jk kuwa rais wa nchi haimaaniishi wewe kwenda likizo na kuacha kuijenga nchi yako.
Alikuwaje Rais kama hawezi kukuza uchumi na kupambana na Rushwa, anasubiri nini?Alijua urais ni kusafiriRaisi hawezi kufanya hayo yote bila msaada wako!
Kwa nini anawatetea walaji wakubwa wa rushwa? anafikiaje kusema hakuna rushwa kwenye kesi ya rada, wakati kila kitu kiko wazi, au nae alishiriki?Traffic amekukamata ushawahi kugoma kutoa kitu kidogo!
Ni kwa sababu ameshindwa kusimamia nidhamu ya watendaji wake!JK anaangushwa na watendaji na baadhi ya wananchi ambao wanatumika kisiasa
Amechukua hatua gani kwa hayo madudu? Lakini hata kipindi cha nyuma si alikuweko kwenye serikali alifanya nini kuzuia hayo madudu? Kifupi alinufaika na bado ananufaika na hayo madudu.Kipindi cha jk madudu mengi yaliofanywa utawala wa nyuma yaliibuliwa na kuwekwa hadharani!
Achague misiba ya kwenda, sio kila msiba yeye, yuko makamu wa rais, waziri mkuu na hata waziri wa mambo ya nje anaweza kumwakilisha. Kwani marais wote huwa wanakuwa kwenye hiyo misiba ya kitaifa.Misiba ya kitaifa! Mlitaka aende nani???
Raisi hawezi kufanya hayo yote bila msaada wako! Je wewe umechukuwa hatua gani..? Mfano kupambambana na rushwa je ushawahi kugoma kutoa rushwa!? Traffic amekukamata ushawahi kugoma kutoa kitu kidogo!
JK anaangushwa na watendaji na baadhi ya wananchi ambao wanatumika kisiasa..
Kipindi cha jk madudu mengi yaliofanywa utawala wa nyuma yaliibuliwa na kuwekwa hadharani!
Misiba ya kitaifa! Mlitaka aende nani???![/QUOT
Raisi angekuwa ni mtu mwenye hekima sawasawa angekuwa anafania kazi yale ambayo anaambiwa na kuona.Wizi wa waziwazi fanya maamuzi magumu badala ya kutetea.Police kuua badala ya kulinda wananchi anabaki kuchekacheka tu.Wabunge kushangilia na hela ambayo wanaita chengi ya Rhada kama vile kulikuwa na biashara wakati huo ni wizi.Gasi watu washaanza kula hela hata kabla ya production.Tukubali tusikubali rais wetu ni dhaifu.
Huruma? Kama alivyomuhurumia Babu Seya, sio?Jk alifaa awe kiongozi wa kidini, ana huruma sana !! He is a ceremonial leader.
Jk alifaa awe kiongozi wa kidini, ana huruma sana !! He is a ceremonial leader.
Wewe kama mtanzanaia umeifanyia nini nchi yako? Jk kuwa rais wa nchi haimaaniishi wewe kwenda likizo na kuacha kuijenga nchi yako.
Kati ya vitu vinavyoniudhi hii ni namba moja. Kama watendaji wanamwangusha amechukua hatua gani? Yeye ndie aliwateua hao wabovu lakini ajabu hajapata kufukuza hata Mtendaji wa Kata tu. Miaka 10 nchi haina Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu. Wanaosikika ni Magufuli na Mwakyembe basi na yule Sitta anayewapiga vijembe wenzake. President yuko likizo ya Uzeeni (kama ipo)Raisi hawezi kufanya hayo yote bila msaada wako! Je wewe umechukuwa hatua gani..? Mfano kupambambana na rushwa je ushawahi kugoma kutoa rushwa!? Traffic amekukamata ushawahi kugoma kutoa kitu kidogo!
JK anaangushwa na watendaji na baadhi ya wananchi ambao wanatumika kisiasa..
Kipindi cha jk madudu mengi yaliofanywa utawala wa nyuma yaliibuliwa na kuwekwa hadharani!
Misiba ya kitaifa! Mlitaka aende nani???!
Wewe huja jua kipaji cha Kikwete alipaswa awe promoter au afisa michezo kule Gamboshi...Jk alifaa awe kiongozi wa kidini, ana huruma sana !! He is a ceremonial leader.