Tumebaki na Rais wa Uzinduzi, Safari na Misiba

Yule Rais tuliyemchagua kwa kishindo mwaka 2005 amepotea, Rais tuliyemtegemea - aboreshe uchumi na kuondoa umasikini, aongeze nidhamu kwa watendaji serikali, apambane na Rushwa, aboreshe huduma za jamii kama afya na elimu, akuze demokrasia nchini - hayupo tena.

Huyu tulienae

  1. [*=1]Ameshindwa kukuza uchumi na kuondoa umasikini - angalia mfumuko wa bei, angalia thamani ya shilingi inavyoporomoka, angalia deni la taifa linavyoongezeka, angalia jinsi idadi ya masikini inavyokua kwa kasi. n.
    [*=1]Ameshindwa kusimamia nidhani kwa watendaji wake - kila mtu serikalini anafanya la kwake, hakuna tena utendaji wa pamoja, malumbano kati ya mawaziri achia mbali huko kwenye chama chao yeye akiwa mwenyekiti, kila mmoja ni chukua chako mapema, uwajibikaji haupo tena.
    [*=1]Ameshindwa kupambana na rushwa - hapa ndio ameshindwa kabisa, na anakuja hadharani kwa jinsi asivyo na aibu na kuanza kutetea wala rushwa, mara Richmond ni ajali ya kisiasa, mara hakuna rushwa kwenye sakata la rada, simama barabarani uone polisi wanavyofanya rushwa kama haki yao, nenda mahakamani, nenda mahospitalini utalia jinsi rushwa ilivyohallalishwa,ameunda Takukuru isiyo na meno au iliyo na meno ya mtoto kung'ata vidagaa na kushindwa kuuma mapapa.
    [*=1]Ameshindwa kuporesha huduma za msingi za jamii - kipindi chake kimeshuhudia kuporomoka vibaya kwa kiwango cha elimu cha ngazi zote, wanafunzi wakifaulu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika, sekondari ni wizi wa mitihani ndio order of the day, vyuo vikuu imekuwa ni uchakachuzi na madesa, sijui tunakwenda wapi. Afya ndio usiseme, watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kirahisi, hakuna vifaa tiba wala madawa kwenye vituo vya afya, wataalamu hawapo, kama wapo hawana ari ya kufanya kazi kwa ujira duni, watanzania wakimbilie wapi? Kipindi chake kimeshuhudia migawo ya umeme ambayo haijawahi kutokea toka nchi hii ipate uhuru.nk.
    [*=1]Demokrasia ndio imemshinda kabisa - angalia jinsi anavyofanya hila za kunyima watu uhuru wa kufanya siasa, ameamua badala ya kushindana kwa sera, sasa ni kushindana kwa ubavu wa nani ana majeshi, ameamua kunyima watu uhuru wa kupata habari kwa kufungia vyombo vya habari vinayoibua madudu ya serikali na kufikia hata kuua waandishi wa habari wanaohoji mwenendo mbaya wa ukosefu wa demokrasia nchini, ameamua kutumia vyombo vya habari vya umma kama TBC kuendesha propaganda chafu dhidi ya vyama vya upinzani vyenye nguvu.

Baada ya kushindwa yote haya, sasa atoke vipi?

  • [*=1]Ameamua kutoka kwa staili ya uzinduzi wa majengo, nyumba za kulala wageni (labda hotels - Arusha nakumbuka), vyuo nk., kazi ambayo ilikuwa ya Makamu wake ambaye hatujui wajibu wake hasa ni nini, lakini tulidhani hii ndio kazi yake.
    [*=1]Pia ameamua atoke kwa staili ya kuhudhuria misiba popote pale itakapotokea duniani.
    [*=1]Na pia anatoka kwa staili ya Vasco da Gama, hii haihitaji maelezo.

Rais wetu tafadhali sana, hatukuchagua kwa ajili ya kuhudhuria misiba na uzinduzi au safari, tulikuchagua kwa ajili ya mambo hayo matano juu. Utamaliza muda wako, utaondoka lakini ujue kama si sheria kukuhukumu basi historia itafanya hivyo.

Umenena vema. Mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba JK alikuwa na ndoto tu ya kuwa Rais wa JMT na hakujua na hajui na wala haitatokea ajue kwamba, je baada ya kuupata Urais, angeutumia vipi kufanikisha mambo ya msingi. Naamini na nitaendelea kuamini kwamba ndoto ya JK ilikuwa ni kuwa Rais FULL STOP. Ndiyo maana ameamua kuchagua hizo kazi ambazo umeeleza vema hapo juu.
 
Huruma gani mbona hata ubani kwa Mwangosi hakutoa wala kusabai familia kama kwa Kanumba???
Huyu ni Dhaifu tu.
Huyo naona kachanganyikiwa kusema kikwete anahuruma ni makosa makubwa sana kafanya mauwaji Nyamogo mkoani mara na bado anaendela, anafanya mauwaji mkoani Arusha na bado anaendelea, kafanya mauwaji tabora na kuna kila ishara ataendela, kauwa Morogoro, Iringa, Songea, Mbeya...kikwete ni muuaji tunapaswa kumfikisha ICC.......................
 
Mkuu kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi kutatua mgogoro wa madakitari huko mahospitalini wamekufa wengi.

He has poor decision making, and this results into many tanzanianS to die, SIMPLY KIKWETE IS A KILLER
 
Kaka yangu BAK huyu jamaa ni kiama!!!!! miaka kumi ameiharibu kabisa hili balaa Mwalimu nyerere aliliona sisi tukampuuzia kwenye nchi nyingine hata mwaka asingemaliza
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwanangu umenena vyema. Kikwete hana analojua wala kufanya zaidi ya kusafiri, kuzindua kila upuuzi na kushiriki misiba hata isiyokuwa na umuhimu. He is but a political and historical accident to our country.
wakati mwingine tuwe tunafikiri kwa kichwa basi, mbona unaongea kama vile unaumwa/? KINACHOZINDULIWA NI KILE AMBACHO UTAWALA WAKE UNAFANYA SASA WEWE UNATAKA ASIENDE. NA UKOME KUMUITA RAIS WANGU MPUUZI, PAMOJA NA KUWA jf WENZIE HAWATAKUFUNGIA LKN POA, JITAHIDI KUCONTROL MDOMO WAKO UNAPOONGEA. MI NAJUA JF UKIMTUKANA JK POA ILA UKISIFIA CDEMU UNAFUNGIWA HAYA ENDELEENI.
 
Mnatumia muda mwingi kutoa lawama mitandaoni. Muda huu ungeamua kusaidia watoto homework angalau ingekuwa umefanya la maana.
 
Raisi hawezi kufanya hayo yote bila msaada wako! Je wewe umechukuwa hatua gani..? Mfano kupambambana na rushwa je ushawahi kugoma kutoa rushwa!? Traffic amekukamata ushawahi kugoma kutoa kitu kidogo!

JK anaangushwa na watendaji na baadhi ya wananchi ambao wanatumika kisiasa..

Kipindi cha jk madudu mengi yaliofanywa utawala wa nyuma yaliibuliwa na kuwekwa hadharani!

Misiba ya kitaifa! Mlitaka aende nani???!

Mkuu kwa nini hayo "madudu" uliyosema yaibuke katika utawala wake?

- Kama anaangushwa na watendaji wake, je hawezi
kuwaadabisha? hawezi kuwabadilisha? hawezi kuongelea
hata

- Hatukatai Rais kuhudhuria misiba(ni ubinadamu), lakini
hana mawaziri hana wawakilishi hana mabalozi katika
nchi husika?.. lakini kama UBINADAMU huu alionao Rais
wetu mbaona hata kusema jambo kuhusu msiba wa D.
Mwangosi(R.I.P), ukichukulia hali iliyotawala baada ya
msiba huu?...

-Je, ni kweli hajui? ni kweli hatambui malalamiko na shida
za waTZ?..ni kweli hakuna wakupara taarifa/maelezo
mapendekezo yetu(wananchi ) na wakati fulani pongezi?

Delegayion of power ni muhimu kwa sub-ordinates, si kila jambo alifanye! ..Kujenga jina kubwa nje ya nchi haisaiidi ikiwa wananchi bado wankuhitaji kuliko wale walio nje, Mkuu.
 
wakati mwingine tuwe tunafikiri kwa kichwa basi, mbona unaongea kama vile unaumwa/? KINACHOZINDULIWA NI KILE AMBACHO UTAWALA WAKE UNAFANYA SASA WEWE UNATAKA ASIENDE. NA UKOME KUMUITA RAIS WANGU MPUUZI, PAMOJA NA KUWA jf WENZIE HAWATAKUFUNGIA LKN POA, JITAHIDI KUCONTROL MDOMO WAKO UNAPOONGEA. MI NAJUA JF UKIMTUKANA JK POA ILA UKISIFIA CDEMU UNAFUNGIWA HAYA ENDELEENI.

Hivi hapa watu wanaongea kwa mdomo au kwa kuandika??? chekechea!!lol!
 
Yule Rais tuliyemchagua kwa kishindo mwaka 2005 amepotea, Rais tuliyemtegemea - aboreshe uchumi na kuondoa umasikini, aongeze nidhamu kwa watendaji serikali, apambane na Rushwa, aboreshe huduma za jamii kama afya na elimu, akuze demokrasia nchini - hayupo tena.

Huyu tulienae

  1. [*=1]Ameshindwa kukuza uchumi na kuondoa umasikini - angalia mfumuko wa bei, angalia thamani ya shilingi inavyoporomoka, angalia deni la taifa linavyoongezeka, angalia jinsi idadi ya masikini inavyokua kwa kasi. n.
    [*=1]Ameshindwa kusimamia nidhani kwa watendaji wake - kila mtu serikalini anafanya la kwake, hakuna tena utendaji wa pamoja, malumbano kati ya mawaziri achia mbali huko kwenye chama chao yeye akiwa mwenyekiti, kila mmoja ni chukua chako mapema, uwajibikaji haupo tena.
    [*=1]Ameshindwa kupambana na rushwa - hapa ndio ameshindwa kabisa, na anakuja hadharani kwa jinsi asivyo na aibu na kuanza kutetea wala rushwa, mara Richmond ni ajali ya kisiasa, mara hakuna rushwa kwenye sakata la rada, simama barabarani uone polisi wanavyofanya rushwa kama haki yao, nenda mahakamani, nenda mahospitalini utalia jinsi rushwa ilivyohallalishwa,ameunda Takukuru isiyo na meno au iliyo na meno ya mtoto kung'ata vidagaa na kushindwa kuuma mapapa.
    [*=1]Ameshindwa kuporesha huduma za msingi za jamii - kipindi chake kimeshuhudia kuporomoka vibaya kwa kiwango cha elimu cha ngazi zote, wanafunzi wakifaulu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika, sekondari ni wizi wa mitihani ndio order of the day, vyuo vikuu imekuwa ni uchakachuzi na madesa, sijui tunakwenda wapi. Afya ndio usiseme, watanzania wengi wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kirahisi, hakuna vifaa tiba wala madawa kwenye vituo vya afya, wataalamu hawapo, kama wapo hawana ari ya kufanya kazi kwa ujira duni, watanzania wakimbilie wapi? Kipindi chake kimeshuhudia migawo ya umeme ambayo haijawahi kutokea toka nchi hii ipate uhuru.nk.
    [*=1]Demokrasia ndio imemshinda kabisa - angalia jinsi anavyofanya hila za kunyima watu uhuru wa kufanya siasa, ameamua badala ya kushindana kwa sera, sasa ni kushindana kwa ubavu wa nani ana majeshi, ameamua kunyima watu uhuru wa kupata habari kwa kufungia vyombo vya habari vinayoibua madudu ya serikali na kufikia hata kuua waandishi wa habari wanaohoji mwenendo mbaya wa ukosefu wa demokrasia nchini, ameamua kutumia vyombo vya habari vya umma kama TBC kuendesha propaganda chafu dhidi ya vyama vya upinzani vyenye nguvu.

Baada ya kushindwa yote haya, sasa atoke vipi?

  • [*=1]Ameamua kutoka kwa staili ya uzinduzi wa majengo, nyumba za kulala wageni (labda hotels - Arusha nakumbuka), vyuo nk., kazi ambayo ilikuwa ya Makamu wake ambaye hatujui wajibu wake hasa ni nini, lakini tulidhani hii ndio kazi yake.
    [*=1]Pia ameamua atoke kwa staili ya kuhudhuria misiba popote pale itakapotokea duniani.
    [*=1]Na pia anatoka kwa staili ya Vasco da Gama, hii haihitaji maelezo.

Rais wetu tafadhali sana, hatukuchagua kwa ajili ya kuhudhuria misiba na uzinduzi au safari, tulikuchagua kwa ajili ya mambo hayo matano juu. Utamaliza muda wako, utaondoka lakini ujue kama si sheria kukuhukumu basi historia itafanya hivyo.

Huu ni ukweli na mwenyewe anaujua! Nahisi anapanga kitu ili aendelee kukaa madarakani baada ya
2015 kwani kuondoka kwake madarakani tu atakufa kwa kihoro.
 
mwanangu umenena vyema. Kikwete hana analojua wala kufanya zaidi ya kusafiri, kuzindua kila upuuzi na kushiriki misiba hata isiyokuwa na umuhimu. He is but a political and historical accident to our country.

hata siku ya kufa huyu rais we2 mtukufu atafika kwenye uzinduzi wa makaburi maana mnawezeza jua kwa siku zote anazosafiri ni mara ngapi anazimiaga kwenye hizo safari?

Mungu atamlipa maana kundi alilopewa aliongoze hajalifanyia chochote, sasa cjui atajib nini, atafakari kwa upya kuwa kuna maisha mengine ya kutoa hesabu ya yale uliyoyafanya duniani baada ya haya maisha, maana kama ni maagizo ya kuua amesha yatoa mengi sana na pindi anapotoa hayo maagizo huwa anakimbiliaga nje ya nchi na nadhani ndio maana safari zake zinakuwa nyingi ili wanapokuwa wanatekeleza mauaji hao wanaopewa hiyo kazi yeye awe majuu
 
Kapotolo,

Kama uliyoainisha kwa uchache sana hapo juu, ni wazi kuwa JK sio rais na wala hajaitendea haki taasisi hiyo kubwa na muhimu.

Hasara ya udhaifu wake tunalipa sisi wananchi, kila siku na popote tulipo ndani ya JMT. Ameshindwa jumla, he's a proper and complete failure!

Muda huu ni vema Watanzania tukajipanga kuanza maisha upya kabisa akiondoka. Inaweza kuwa mwaka huu, mwakani au 2015 lakini tunayo kazi kubwa sana ya kujijenga kama nchi.

JK ameshindwa hata kwenye vitu basic kabisa kama teuzi. Hivi hao watendaji ambao vipofu na mashabiki wake sikuzote hudai eti ndio wanaomwangusha je nani aliyewachagua? Si ni yeye na prince Riz ndio wanaowachagua, sasa iweje asibebe mzigo wa uwajibikaji kwa utendaji mbovu?

Mkuu, unaongelea waTZ sisi sisi, wenye kusahau mamvo muhimu kwa starehe za muda mfupi??..
 
Mnatumia muda mwingi kutoa lawama mitandaoni. Muda huu ungeamua kusaidia watoto homework angalau ingekuwa umefanya la maana.
Hatutoi lawama tunajaribu kumkumbusha majukumu yake au kumuelimisha nini anatakiwa kufanya kama hajui, homework watoto wanafanya, hatujasahau majukumu yetu kama huyu rais wetu
 
Kwa kweli huyu Mh JK ameshindwa kwa kila kitu katika hali ya kuwaongoza watz zaidi kinachomsaidiakwa sasa ni hawa jamaa wanaojiita Usalama wa Taifa tuu other wise hatuna Raisi kwa wakati wote
 
Wewe kama mtanzanaia umeifanyia nini nchi yako? Jk kuwa rais wa nchi haimaaniishi wewe kwenda likizo na kuacha kuijenga nchi yako.

Kama mfumo wa utawala ngazi ya juu ni dhaifu, basi kwa mtanzania wa kawaida (mlala hoi) hana uwezo na nafasi ya kujenga nchi yake kwani good set up inaanzia ngazi ya juu ya utawala kwa baba mwana asha magogoni.
 
Mkuu ulichokiongea ni sahihi kabisa, hakuna anaemuonea hapa kwa sababu hata unapoajiriwa sehemu kuna responsibilities ambazo kama muajiririwa inabidi uzitimize, sasa kama zile responsibilities zako hauwezi kuzitimiza automatically your incompetent for that position! But hata tukimuuliza mwenyewe leo ni kitu gani ambacho watanzania generation to generation watamkumbuka nacho?simply atasema SIJUI na kweli hana!
 
Back
Top Bottom