Tumeachana lakini bado ananiomba hela

Tumeachana lakini bado ananiomba hela

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,373
Reaction score
8,284
Heshima kwenu ma great thinkers, nliwahi kuleta uzi hapa wa mpenzi wangu niliyempenda kupitiliza, nimeutafuta niuunge hapa sijauona. Nlienda naye hadi nje ya nchi ili kumweka sawa tusiachane ila rukiwa huko kaninyima tunda. Sasa baada ya kuchoshwa na mambo yake nikaamua tu kumwacha. Baadhi ya mambo sikuyaandika ili kuficha identity yake na yangu pia. Actually nina kazi na mshahara wa wastan km 2m hivi. So anajua kabisa naweza kumsaidia sababu anajua income yangu vizuri.
Sasa mwishoni mwa mwaka jana kama kwenye oct hivi ama nov ilibidi nisalimu amri kwani alikuwa anatoka na madogo ambao sio rank yangu ikabidi nimteme. Ikumbukwe nlikuwa namhudumia kila kitu na yy ni mwanachuo, anzia kumlipia hostel hadi ada kwani anaishi na mama tu na mama ni mkulima.

Basi alibembeleza saaana nisimwache nina sms karibu 3000 zikiomba nimsamehe. Anzia za muda huo hadi za jana na leo. Sijamblock.
Sasa kwenye oct nlianzisha mahusiano na binti mwingine mwanachuo pia, nlimweleza kila kitu kuhusu x wangu na nikamwonyesha akamwona ila x hamjui but naye nlimwambia kuwa nipo kwenye relation mpya.

Sasa tukea mwezi wa jan ananiomba hela sana kuwa ana shida. Na kweli mda flani zinakuwa genuine nashawishika nimpe, ila namkazia ili aone umhimu wangu kwake.

Leo asubuhi nimeamka nakuta sms akinisalimia and nikareply tukachat kidogo ila baadae akasema anaomba hela, ki ukweli ndogo sana aloitaja, nimemhurumia nikachukua simu ndogo nimtumie baadae akili ikaniambia hebu acha kwanza utume jf. Ndo nimeahirisha nione huyu nmfanyeje.
Ikumbukwe ma x wangu wote huwa sivunji mawasiliano nao ila huwa tunavunja mahusiano ya mapenzi wanaendelea kuwa washkaji. Si kwa sababu ya kukumbushia no way. Huwa nawachora wanavyohangaika na mahusiano yanngu mapya.
 
Pesa zako ndo zinapendwa ww pengine hupendwi kabisa.
 
Pamoja na huo mshahara wako wa Milioni 2 Bado Huwezi kujisimamia kimaamuzi mpaka uje kuomba washauri humu?

Kwanini uliachwa?

My opinions; una pesa ila hujui kumliwaza, Yuko dilemma!

Tuma hiyo pesa wakale na hao madogo wanaomkaza vizuri [emoji16][emoji23]!
 
Kama unahitaji ushauri katika hili ni wazi kuwa kuna mambo matatu:-

1. Una huruma lakini unahisi huruma yako inachukuliwa poa.
2. Umeeleza habari ya kuwafanya ma X zako kuwa washikaji. Tatizo sio kwenye ushikaji bali ni ushikaji wa namna gani?
3. Kwa maelezo yako ni wazi kuwa umeipa hela nafasi kubwa sana kwenye mapenzi. Unahisi ukumhudumia msichana basi anapaswa kukupenda/ama kuwa mwaminifu. Mapenzi ni zaidi ya fedha na kuhudumia.

Kaa chini na chukua muda kutafakari namna unavyoishi na mpenzi wako. Angalia nafasi ya hela lakini pia zingatia nafasi ya mambo mengine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Heshima kwenu ma great thinkers, nliwahi kuleta uzi hapa wa mpenzi wangu niliyempenda kupitiliza, nimeutafuta niuunge hapa sijauona. Nlienda naye hadi nje ya nchi ili kumweka sawa tusiachane ila rukiwa huko kaninyima tunda. Sasa baada ya kuchoshwa na mambo yake nikaamua tu kumwacha. Baadhi ya mambo sikuyaandika ili kuficha identity yake na yangu pia. Actually nina kazi na mshahara wa wastan km 2m hivi. So anajua kabisa naweza kumsaidia sababu anajua income yangu vizuri.
Sasa mwishoni mwa mwaka jana kama kwenye oct hivi ama nov ilibidi nisalimu amri kwani alikuwa anatoka na madogo ambao sio rank yangu ikabidi nimteme. Ikumbukwe nlikuwa namhudumia kila kitu na yy ni mwanachuo, anzia kumlipia hostel hadi ada kwani anaishi na mama tu na mama ni mkulima.

Basi alibembeleza saaana nisimwache nina sms karibu 3000 zikiomba nimsamehe. Anzia za muda huo hadi za jana na leo. Sijamblock.
Sasa kwenye oct nlianzisha mahusiano na binti mwingine mwanachuo pia, nlimweleza kila kitu kuhusu x wangu na nikamwonyesha akamwona ila x hamjui but naye nlimwambia kuwa nipo kwenye relation mpya.

Sasa tukea mwezi wa jan ananiomba hela sana kuwa ana shida. Na kweli mda flani zinakuwa genuine nashawishika nimpe, ila namkazia ili aone umhimu wangu kwake.

Leo asubuhi nimeamka nakuta sms akinisalimia and nikareply tukachat kidogo ila baadae akasema anaomba hela, ki ukweli ndogo sana aloitaja, nimemhurumia nikachukua simu ndogo nimtumie baadae akili ikaniambia hebu acha kwanza utume jf. Ndo nimeahirisha nione huyu nmfanyeje.
Ikumbukwe ma x wangu wote huwa sivunji mawasiliano nao ila huwa tunavunja mahusiano ya mapenzi wanaendelea kuwa washkaji. Si kwa sababu ya kukumbushia no way. Huwa nawachora wanavyohangaika na mahusiano yanngu mapya.

Sasa kama umeshasema madem zako hua huachani nao mnaendelea kua washkaji, basi na hela mpe kama ambavyo mshkaji yoyote akikuambia ana shida unaweza kumsaidia. Mi sioni kabisa haja ya kuja kuomba ushauri kuhusu kumpa hela mshkaji wako mwenye shida
 
Kama unahitaji ushauri katika hili ni wazi kuwa kuna mambo matatu:-

1. Una huruma lakini unahisi huruma yako inachukuliwa poa.
2. Umeeleza habari ya kuwafanya ma X zako kuwa washikaji. Tatizo sio kwenye ushikaji bali ni ushikaji wa namna gani?
3. Kwa maelezo yako ni wazi kuwa umeipa hela nafasi kubwa sana kwenye mapenzi. Unahisi ukumhudumia msichana basi anapaswa kukupenda/ama kuwa mwaminifu. Mapenzi ni zaidi ya fedha na kuhudumia.

Kaa chini na chukua muda kutafakari namna unavyoishi na mpenzi wako. Angalia nafasi ya hela lakini pia zingatia nafasi ya mambo mengine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kawaida tu sio wa kingono. Maana naamini mapenzi na urafiki ni vitu tofauti. Huanza urafiki na urafiki huzaa mapenzi na mapenzi huzaa ndoa mnaweza kuvunja ndoa ila mkaendelea kuwa wapenzi na mkavunja mapenzi ila mkaendelea kuwa marafiki.
 
Shida nawe Unapenda wachuo

Na wao wana penda pesa.

Ulipoacha hukujifunza vizuri namna ya kuishi na ajae ili usirudie makosa.
 
Mkuu
Nakuomba Sana Fuata Ushauri Wa Hayati JPM
Utanishukuru Siku Moja.
Serikali Ninayoiongoza Hapendwi Mtu Inapendwa Pesa. Kuna Video Ya JPM Nimeshindwa Kuiweka Hapa Anasema Utakaa Unatuma Messages Za Kulia Tafuta Mshikaji Mwingine

Achana Naye Huyo, Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni

Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Yaani hapo hapo unaonekana bado hujui huu mchezo Mkuu!! Jaribu kutafakari maswali yafuatayo;

1. Unahisi ni wewe tu akiwa na shida ndo anakuomba hela?? Au sio kwamba ndo mpo ka group cha watu mnatumiwa SMS kisha ana sikilizia nani atamtumia na ya kutolea??

2. Inaonekana huwa unamkazia humtumii pesa kila anapokuomba.. Sasa hebu jiulize tu ni nani huwa anakuwa anamsaida wewe ukiwa umekataa kumpa msaada?

3. Ondoa dhana ya kujiona eti wewe ni muhimu sana kwake au inawezekana ulikuwa muhimu kwake.. Kiufupi mwanamke anayekusaliti mkiwa katika mahusiano huyo hana malengo na wewe na alikuwa na wewe kwasababu zake ambazo alishazifikiria hata kama akiachana na wewe basi tayari ana backup plan yake.

Achana nae huyo mwanamke na jitahidi kupunguza hiyo Ego uliyokuwa nayo maana inaonekana wewe ni rahisi sana kuwa manipulated..
 
Back
Top Bottom