Kuna uzi humu mwanaume mwenzetu aliuliza hivi mwanaume gentlement yupoje?
kwenye comments kuna mtu alimjibu ni mwanaume zoba yaani ukiitwa gentlement na mwanamke basi anamaanisha wewe ni zoba mbumbumbu,mwanamke analitumia jina la gentlement ili kukufariji wakati anatumia uzoba wako kwa faida yake....
Alishakuona mpuuzi toka zamani ndo mana pamoja na kujitahidi kumuhudumia vitu basics ambavyo alipaswa kuhudumiwa na wazazi wake lkn ukamuhudumia wewe zoba lkn akaona asiishie hapo basi akakulipa kwa kukusaliti maana hata akikusaliti wewe ni zoba ,ataomba msamaha gentlement/zoba utakubali....
Sasa anataka kuendelea kutumia uzoba wako kunufaika zaidi.
Niamini Mimi wanawake wengi wanamjua mwanaume mjinga na wanajua namna wa kumtumia mwanaume mjinga mjinga kwa faida yao.Swali ni Je mwanaume mjinga yupoje yupoje?Moja ya majibu sahihi ni hana maamuzi magumu.
Mwanamke atakupima kwenye uwezo wako wa kuwa na maamuzi magumu na kuyatekeleza.Ndo mana utakuta mwanaume wa kawaida tu lkn anaongoza ndoa vzr lkn unakuta mwanaume ana kila kitu lkn mwanamke anamtukana mbele ya rafiki zake.Mtu wa pembeni unajiuliza inakuaje mwanamke anamtukana mume wake mbele ya kadamnasi!!mbon km haiingii akili,simple tu mwanaume hana maamuzi magumu.MaamuZi magumu hayahusiani na una sh ngapi mfukoni...
Umempa kila kitu kakuona f.ara inatosha,hizo pesa tumia kuhudumia mwingine,Nae akikuona fara piga chini,tafuta mwingine hizo pesa hudumia mwanamke mpya.Mpaka upate mwanamke ambaye kujitoa kwako wewe ni kitu cha thamani na ana kiheshimu.
Umpe future hlf akuletee dharau!!!!!!!!!