Tumeachana lakini bado ananiomba hela

Tumeachana lakini bado ananiomba hela

Heshima kwenu ma great thinkers, nliwahi kuleta uzi hapa wa mpenzi wangu niliyempenda kupitiliza, nimeutafuta niuunge hapa sijauona. Nlienda naye hadi nje ya nchi ili kumweka sawa tusiachane ila rukiwa huko kaninyima tunda. Sasa baada ya kuchoshwa na mambo yake nikaamua tu kumwacha. Baadhi ya mambo sikuyaandika ili kuficha identity yake na yangu pia. Actually nina kazi na mshahara wa wastan km 2m hivi. So anajua kabisa naweza kumsaidia sababu anajua income yangu vizuri.
Sasa mwishoni mwa mwaka jana kama kwenye oct hivi ama nov ilibidi nisalimu amri kwani alikuwa anatoka na madogo ambao sio rank yangu ikabidi nimteme. Ikumbukwe nlikuwa namhudumia kila kitu na yy ni mwanachuo, anzia kumlipia hostel hadi ada kwani anaishi na mama tu na mama ni mkulima.

Basi alibembeleza saaana nisimwache nina sms karibu 3000 zikiomba nimsamehe. Anzia za muda huo hadi za jana na leo. Sijamblock.
Sasa kwenye oct nlianzisha mahusiano na binti mwingine mwanachuo pia, nlimweleza kila kitu kuhusu x wangu na nikamwonyesha akamwona ila x hamjui but naye nlimwambia kuwa nipo kwenye relation mpya.

Sasa tukea mwezi wa jan ananiomba hela sana kuwa ana shida. Na kweli mda flani zinakuwa genuine nashawishika nimpe, ila namkazia ili aone umhimu wangu kwake.

Leo asubuhi nimeamka nakuta sms akinisalimia and nikareply tukachat kidogo ila baadae akasema anaomba hela, ki ukweli ndogo sana aloitaja, nimemhurumia nikachukua simu ndogo nimtumie baadae akili ikaniambia hebu acha kwanza utume jf. Ndo nimeahirisha nione huyu nmfanyeje.
Ikumbukwe ma x wangu wote huwa sivunji mawasiliano nao ila huwa tunavunja mahusiano ya mapenzi wanaendelea kuwa washkaji. Si kwa sababu ya kukumbushia no way. Huwa nawachora wanavyohangaika na mahusiano yanngu mapya.
Ameshakujua HUNA AKILI.
 
Yaani hapo hapo unaonekana bado hujui huu mchezo Mkuu!! Jaribu kutafakari maswali yafuatayo;

1. Unahisi ni wewe tu akiwa na shida ndo anakuomba hela?? Au sio kwamba ndo mpo ka group cha watu mnatumiwa SMS kisha ana sikilizia nani atamtumia na ya kutolea??

2. Inaonekana huwa unamkazia humtumii pesa kila anapokuomba.. Sasa hebu jiulize tu ni nani huwa anakuwa anamsaida wewe ukiwa umekataa kumpa msaada?

3. Ondoa dhana ya kujiona eti wewe ni muhimu sana kwake au inawezekana ulikuwa muhimu kwake.. Kiufupi mwanamke anayekusaliti mkiwa katika mahusiano huyo hana malengo na wewe na alikuwa na wewe kwasababu zake ambazo alishazifikiria hata kama akiachana na wewe basi tayari ana backup plan yake.

Achana nae huyo mwanamke na jitahidi kupunguza hiyo Ego uliyokuwa nayo maana inaonekana wewe ni rahisi sana kuwa manipulated..
Mwanamke hata muachane, Ela yako ataitaka TU.

Uyo mwanamke Ni master of manipulation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi humu mwanaume mwenzetu aliuliza hivi mwanaume gentlement yupoje?
kwenye comments kuna mtu alimjibu ni mwanaume zoba yaani ukiitwa gentlement na mwanamke basi anamaanisha wewe ni zoba mbumbumbu,mwanamke analitumia jina la gentlement ili kukufariji wakati anatumia uzoba wako kwa faida yake....

Alishakuona mpuuzi toka zamani ndo mana pamoja na kujitahidi kumuhudumia vitu basics ambavyo alipaswa kuhudumiwa na wazazi wake lkn ukamuhudumia wewe zoba lkn akaona asiishie hapo basi akakulipa kwa kukusaliti maana hata akikusaliti wewe ni zoba ,ataomba msamaha gentlement/zoba utakubali....

Sasa anataka kuendelea kutumia uzoba wako kunufaika zaidi.

Niamini Mimi wanawake wengi wanamjua mwanaume mjinga na wanajua namna wa kumtumia mwanaume mjinga mjinga kwa faida yao.Swali ni Je mwanaume mjinga yupoje yupoje?Moja ya majibu sahihi ni hana maamuzi magumu.

Mwanamke atakupima kwenye uwezo wako wa kuwa na maamuzi magumu na kuyatekeleza.Ndo mana utakuta mwanaume wa kawaida tu lkn anaongoza ndoa vzr lkn unakuta mwanaume ana kila kitu lkn mwanamke anamtukana mbele ya rafiki zake.Mtu wa pembeni unajiuliza inakuaje mwanamke anamtukana mume wake mbele ya kadamnasi!!mbon km haiingii akili,simple tu mwanaume hana maamuzi magumu.MaamuZi magumu hayahusiani na una sh ngapi mfukoni...

Umempa kila kitu kakuona f.ara inatosha,hizo pesa tumia kuhudumia mwingine,Nae akikuona fara piga chini,tafuta mwingine hizo pesa hudumia mwanamke mpya.Mpaka upate mwanamke ambaye kujitoa kwako wewe ni kitu cha thamani na ana kiheshimu.

Umpe future hlf akuletee dharau!!!!!!!!!
 
Weka no. Yako hapa tukuchangie pesa ya bia,

Maana umesema ukweli japo utakuwa mchungu kwa mleta mada.
 
Mademu wa siku izi wanapenda pesa na wanataka uwapelekee moto,
Sasa kama ww unatoa pesa alfu shoo mbovu hacha madogo wampelekee moto tu!
 
Kuna wanaopenda na wanaohitaji pesa ili kusurvive.
Anyways mleta mada nadhani unamjua zaidi x wako kuliko sisi wachangiaji hulka yake n.k
Ukiona kama ana shida ya dhati na unaweza kumsaidia fanya hivyo
 
Heshima kwenu ma great thinkers, nliwahi kuleta uzi hapa wa mpenzi wangu niliyempenda kupitiliza, nimeutafuta niuunge hapa sijauona. Nlienda naye hadi nje ya nchi ili kumweka sawa tusiachane ila rukiwa huko kaninyima tunda. Sasa baada ya kuchoshwa na mambo yake nikaamua tu kumwacha. Baadhi ya mambo sikuyaandika ili kuficha identity yake na yangu pia. Actually nina kazi na mshahara wa wastan km 2m hivi. So anajua kabisa naweza kumsaidia sababu anajua income yangu vizuri.
Sasa mwishoni mwa mwaka jana kama kwenye oct hivi ama nov ilibidi nisalimu amri kwani alikuwa anatoka na madogo ambao sio rank yangu ikabidi nimteme. Ikumbukwe nlikuwa namhudumia kila kitu na yy ni mwanachuo, anzia kumlipia hostel hadi ada kwani anaishi na mama tu na mama ni mkulima.

Basi alibembeleza saaana nisimwache nina sms karibu 3000 zikiomba nimsamehe. Anzia za muda huo hadi za jana na leo. Sijamblock.
Sasa kwenye oct nlianzisha mahusiano na binti mwingine mwanachuo pia, nlimweleza kila kitu kuhusu x wangu na nikamwonyesha akamwona ila x hamjui but naye nlimwambia kuwa nipo kwenye relation mpya.

Sasa tukea mwezi wa jan ananiomba hela sana kuwa ana shida. Na kweli mda flani zinakuwa genuine nashawishika nimpe, ila namkazia ili aone umhimu wangu kwake.

Leo asubuhi nimeamka nakuta sms akinisalimia and nikareply tukachat kidogo ila baadae akasema anaomba hela, ki ukweli ndogo sana aloitaja, nimemhurumia nikachukua simu ndogo nimtumie baadae akili ikaniambia hebu acha kwanza utume jf. Ndo nimeahirisha nione huyu nmfanyeje.
Ikumbukwe ma x wangu wote huwa sivunji mawasiliano nao ila huwa tunavunja mahusiano ya mapenzi wanaendelea kuwa washkaji. Si kwa sababu ya kukumbushia no way. Huwa nawachora wanavyohangaika na mahusiano yanngu mapya.
Nisiwe mnafiki,nimekutukana tusi kubwa sana wewe...Naongeza tusi lingine wewe ni zwazwa
 
Yan kuna watu Bado wanaamin PESA Ndio kila kitu kwnye Mapenx [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleen tu.. Pesa unatoa pumzi huna..
 
Kwa nini uja mblock
IMG_20210319_115219.jpg
 
Back
Top Bottom