Yale mafuriko ya juzi yamewapanikisha..!!
Sasa wanaenda kujipanga upya namna ya kuchakachua..Wanaarusha msilale aisee Jipangeni upya, Wasiwachezee hawa.
BACK TANGANYIKA
.....
......hata ifanyike usiku Arusha nzima itakwenda kujiandikisha
Mimi nahisi hiyo ni fiksi tuu, wawaambie nyie pro chadema kuwa uandikishaji umeahirishwa alafu usiku pro-mafisi wakajiandikishe. Fanyeni inteligensia ya hali ya juu. Si mliona majuzi kuna watu wamekamatwa wanaandikisha usiku,
Hapa ndio wanazidi kutuoandisha mzuka. Yaani ocktober watajua kilicho mfukuza nyani kakimbilia msituni.
.....
......hata ifanyike usiku Arusha nzima itakwenda kujiandikisha
Hakika mkuu,
Nyie komaeni mpaka kieleweke, wakileta hizo mashine kuweni nao macho masaa 24. Wakifunga vituo hakikisheni mnasindikiza mashine
zinakokwenda ikibidi zilindeni mpaka asubuhi inayofuata, imebainika aanaanzisha vituo bubu nyakati za usiku nakuwaandikisha watu wao.
Tena kwa hapoq Arusha ndo wanahasira na Lena balaa. mitaa 73/78 si mchezo..!!! Wanamwandalia zengwe kuanzia kwenye kujiandikisha mpaka kwenye uhesabuji wa kura. Kuweni macho wakuu.
BACK TANGANYIKA
wana arusha tegeni masikio yenu. muda wowote jitokezeni mujiandikishe..
Kamanda hili usiwe na shaka nalo kabisa! Tutakomaa nao mpk waone joto daaadekii!!!