Halafu hazikatwi kodi! Tuendelee tu kugharamia SIASA kama mazuzu huku shule zetu zikiwa hoi, zahanati hazina hata panado, mahakama za mwanzo zikiwa mbavu za mbwa na WATANZANIA wakinunua kilo ya unga kwa zaidi sh 1000 sasa.Ni pesa ya kawaida sana jumla watalipwa billion4.8 tu yaani kila mtu M162 kwa kipindi chote hicho cha miezi 18. (300,000*30*18=162,000,000) (162,000,000*30=4,860,000,000). Yataka uzalendo wa kweli mtu kuacha kazi zako zoooote kwa miezi18 ili ukaingize MILIONI162
Si mnataka katiba mpya sasa mnalalamika nini? Kombani aliwaambia hatuwezi kuandika katiba mpya sababu ni ghalama kubwa, mkamuona mpumbavu..
Ni pesa ya kawaida sana jumla watalipwa billion4.8 tu yaani kila mtu M162 kwa kipindi chote hicho cha miezi 18. (300,000*30*18=162,000,000) (162,000,000*30=4,860,000,000). Yataka uzalendo wa kweli mtu kuacha kazi zako zoooote kwa miezi18 ili ukaingize MILIONI162
Ni kweli kiasi hiki ni kikubwa mno. Lakini, ifikie mahali tukubali kuwa gharama ni lazima kwa mambo fulani fulani. Kwa mtu ambaye ametoka nje ya Dar na hana mshahara wowote na kwa upande mwingine anafamilia, kiasi hiki ni kikubwa lakini sio kikubwa sana. Lazima tukubali kuwa usifike wakati mjumbe mmoja akajiuzulu kwa sababu tu, nachokipata katika tume hii hakilingani na mapato yake nje ya tume. Watu walioteuliwa ni watu ambao ni waadalifu kwa kiwango kikubwa, ni weledi waliotukuka na wana hadhi inayowafanya wasiwe omba omba. Nawashauri watanzania wenzagu tukuikubali gharama hii kwa kazi muhimu.Source muandaaji wa malipo.
Jamani watu wanapopewa madaraka katika serikali yetu huwa kuna kamsemo "KAULA" sasa ndo nazidi kupata picha ya kauli hiyo.
Je ni watanzania wangapi wanaweza kuamini kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 300,000/= kwa siku katika shughuri zao toka waapishwe?
Najua sio rahisi kuamini lakini ndo ukweli wa mambo.
Na mtoa taarifa kadai kwanza tume hii haikuwa kwenye bajeti na imechangia kukwamisha baadhi ya miradi na huduma kwa jamii kwa sababu lazima walipwe na watimiziwe wanayotaka.
My concern;
Sasa kama wanafunzi wanakosa mikopo na wafanyakazi wanakosa mishahara kwa wakati kwa manufaa ya wachache tunaenda wapi????
hahahahahaaa..........Only in Tanzania ambako mtu anaweza kubisha kitu asichokijuwa!!.....interesting.
Dosama hii taarifa yako iongezee nyama kidogo ili iaminike!
Kwasasa sitatoa comment yeyote.
Kama kweli wana sifa hizi na mapenzi makubwa kwa nchi yao na WATANZANIA masikini wangekataa kiwango hiki cha posho. Shida kubwa tuliyonayo WATANZANIA ni kila mtu nafsi yake kwanza. Kweli kuratibu maoni ya katiba mpya kunatugharimu kiasi hiki? Tuchukue tu ile katiba ya jirani zetu Kenya tu-copy na ku-paste na ku-replace neno Kenya na Tanzania. Katiba ile ni nzuri sana kwa kiwango kikubwa.Ni kweli kiasi hiki ni kikubwa mno. Lakini, ifikie mahali tukubali kuwa gharama ni lazima kwa mambo fulani fulani. Kwa mtu ambaye ametoka nje ya Dar na hana mshahara wowote na kwa upande mwingine anafamilia, kiasi hiki ni kikubwa lakini sio kikubwa sana. Lazima tukubali kuwa usifike wakati mjumbe mmoja akajiuzulu kwa sababu tu, nachokipata katika tume hii hakilingani na mapato yake nje ya tume. Watu walioteuliwa ni watu ambao ni waadalifu kwa kiwango kikubwa, ni weledi waliotukuka na wana hadhi inayowafanya wasiwe omba omba. Nawashauri watanzania wenzagu tukuikubali gharama hii kwa kazi muhimu.
Wakati Ulaya na Marekani kuna akina Lionel Messi, Kristiano Ronaldo, Bill Gates, Yaya Toure, Kobe Bryant, Beyonce,...., wanalipwa kwa vipaji na ubunifu wao, hapa kwetu WANASIASA na SIASA wanajilipa sana kodi zetu. Yana mwisho haya. JMK ameamua kutuchafulia wale ambao tulidhani ni WAZALENDO, WAFIA NCHI.Kama hivyo mbona ni kidogo sana? hata dollar 200 kwa siku haifiki. Mie kama malipo ni hayo ningejitowa kwenye kamati, kazi zangu zinaniingizia zaidi ya hizo kwa saa 1.
source muandaaji wa malipo.
Jamani watu wanapopewa madaraka katika serikali yetu huwa kuna kamsemo "kaula" sasa ndo nazidi kupata picha ya kauli hiyo.
Je ni watanzania wangapi wanaweza kuamini kuwa wajumbe wa kamati ya katiba wanalipwa sh. 300,000/= kwa siku katika shughuri zao toka waapishwe?
Najua sio rahisi kuamini lakini ndo ukweli wa mambo.
Na mtoa taarifa kadai kwanza tume hii haikuwa kwenye bajeti na imechangia kukwamisha baadhi ya miradi na huduma kwa jamii kwa sababu lazima walipwe na watimiziwe wanayotaka.
My concern;
sasa kama wanafunzi wanakosa mikopo na wafanyakazi wanakosa mishahara kwa wakati kwa manufaa ya wachache tunaenda wapi????
wametofautina mtu mwisho ambae ni dereva anapewa laki moja per day....wengine mpk 450000.....acha ubishi kama hujui kaa kimyaww mtoa mada acha kuwadanganya watu wenye akili zao,apo kwenye 300,000 mi sjui lakini Wamenunuliwa magari 60 sio kweli,we sema una yako ya kunyimwa boom, jipange upya apo tunekushtukia.
Wewe kama huamini hiyo,Tusipokuwa makini JF itakuwa kijiwe cha porojo wewe usipende kuokota maneno mitaani unaleta JF, unasema wanalipwa 300,000 kwa siku ni posho tu hiyo bado mshahara wanalipwa kiasi gan?
Kama hivyo mbona ni kidogo sana? hata dollar 200 kwa siku haifiki. Mie kama malipo ni hayo ningejitowa kwenye kamati, kazi zangu zinaniingizia zaidi ya hizo kwa saa 1.