Tume ya Uchaguzi wanahatarisha amani ya nchi

Tume ya Uchaguzi wanahatarisha amani ya nchi

Bahati mbaya huyo unayemwomba aingilie kati ndiye aliyeamuru na anafurahia hiyo hali. Ni sisi kuamua
Hawa watu wengine sielewi wanafikiri kwa kutumia kamasi au nini.

Eti Baba J anamtuma Bashite afanye vurugu, Bashite anafanya vurugu kwa kufuata amri ya Baba J.

Halafu kuna watu wanakuwa vipofu bado wanataka kumshitaki Bashite kwa Baba J aliyemtuma!
 
Back
Top Bottom