Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Tabia za kike ni pamoja na woga ambao CCM wanapoona nguvu ya CHADEMA wanakimbilia kuomba msaada wa Jeshi la Polisi, TISS na JWTZ. Pamoja na kwamba NEC ni yao bado wana hofu ya kufa mtu.....!!!Hebu tuseme kuanzia sasa tuwe na Tume Huru, Majeshi ya Ulinzi na Usalama wasihusishwe na kuwalinda CCM kwene Chaguzi then tuone kama CCM atashinda jimbo au hata kata moja...!!
Mkuu hakuna mapinduzi ya kweli yanayotokana na mdomo/kusema sema/kubwata/kulalama angalia dunia nzima hakujawahi kutokeapo mapinduzi ya mijitu inayo lalamika tuuuu kila kukicha