Tume ya Uchaguzi wanahatarisha amani ya nchi

jeshi likae pembeni ndio utajua vijana sana hasira kiasi gani...alafu ulivyokuwa umezaliwa porini tabia za kike ndio zipi...lijinga

Mkuu unaanza kunipa shaka juu ya umri wako? hujui tabia za wanawake ni zipi????

Babu yangu aliwahi kuniambia kwamba HUWEZI TUNGA SHERIA KAMA HUSIMAMII SHERIA MKUU.
 
Kwa hali tulipofikia na tunakoelekea kuhusu mambo ya Uchaguzi chini ya hii NEC isiyo Huru amani ya nchi inaenda kutoweka!!!

Haihitaji mtu uwe na elimu ya sayansi ya kurusha Roketi ili kujua kinachofanywa na Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC ili kuhakikisha wanakibeba Chama Tawala cha CCM. Kwamba sasa NEC wamedhamiria kuibeba CCM bila hata aibu baada ya tamko la Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT Bwana John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba CCM itatawala milele.

Tunapoelekea kwenye Chaguzi ndogo za Ubunge Jimbo la Buyungu na Udiwani katika Kata 72 inaonekana kuwa NEC wana mpango kabambe wa kuhakikisha Upinzani hawapati Jimbo la Ubunge wa Kata hata moja. Vituko vinavyojitokeza kwenye maeneo yenye wagombea wa Udiwani kwa Upinzani inasikitisha kama siyo kutishia Amani ya nchi. Kwamba sasa kuna wagombea wa Udiwani toka Upinzani wameambiwa siyo Raia wa Tanzania.....Kuna maeneo Wagombea wanasakwa na Polisi kwa kesi za Mauaji. na kuna maeneo Wagombea wanalazimishwa kujiuzulu au kujaza Fomu kimakosa kwa maksudi ili wawe DISQUALIFIED na Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri na Miji.

Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC...!!Ikibidi hata ajitokeze hadharani afute kauli yake ya CCM ITATAWALA MILELE MAANA KAULI HIYO INAONEAKANA KULETA UCHOCHEZI na ikizingatiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka kesho 2019 na Uchaguzi Mkuu 2010 hali inaweza kuwa mbaya sana!!!!

Naomba kuwasilisha.
SHIDA MOJA UPINZANI WENGI WAPIGAJI AWAKO LWA AJILI YA MAENDELEO SASA HILI JPM KALISOMEA NYAKATI KASHTUKIA

[HASHTAG]#MTAPATAATABUIUSANAAAA[/HASHTAG]
 
Aliyewatuma atawezaje kuingilia kati! Alikwishawaonya wakuu wa mikoa hataki kusikia mpinzani ameshinda wakati yeye ndiye anamlipa mshahara.
 
Ili kuheshimiana, kufuata sheria ni muhimu kuwashughulikia watendaji wanaotekeleza/wasiotekeleza majukumu yao kwa nia ovu dhidi ya wengine kibinafsi badala ya kulalamikia taasisi nzima.
Watu wengi hujificha kwenye mwavuli was taasisi/serikali kutimiza uovu wao dhidi ya uma.
 
Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC.."

Hapa ndio tatizo la Watanzania lilipo ,yaani anayeleta tatizo ndiye anayetegemewa kutatua tatizo

Hivi si Magufuli huyu alisema nikuteue Mkurugenzi ,nikulipe mshahara halafu ukamtangaze mpinzani ?

Mnategemea nini kutoka kwake ?
Afadhali nawe umegundua kitu kinachosikitisha wadanganyika waliowengi
Mpaka sasa hawataki kumjua MTESI wao so SAD
 
Back
Top Bottom