Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Mara hii mmesahau ya kibitiAnzeni kuwaga damu zenu basi tuone. Yaani mnachosha kweli kweli.
Mara hii mmesahau ya kibitiAnzeni kuwaga damu zenu basi tuone. Yaani mnachosha kweli kweli.
Anzisheni Kibiti nyingine.Mara hii mmesahau ya kibiti
Tatizo la nchi hi bila kuficha ni Rais mwenyewe
Hawa wote NEC+Polisi CCM wanafiata maelekezo yake.......
Kwa hiyo ni jambo linalotisha kuona nchi ambayo imeenjoy amani kwa kipindi chote hiki, hivi sasa amani hiyo ni dhahiri iko ukingoni na damu inaelekea kumwagika!
Hivi Maagizo Toka Juu Bado YapoKwa hali tulipofikia na tunakoelekea kuhusu mambo ya Uchaguzi chini ya hii NEC isiyo Huru amani ya nchi inaenda kutoweka!!!
Haihitaji mtu uwe na elimu ya sayansi ya kurusha Roketi ili kujua kinachofanywa na Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC ili kuhakikisha wanakibeba Chama Tawala cha CCM. Kwamba sasa NEC wamedhamiria kuibeba CCM bila hata aibu baada ya tamko la Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT Bwana John Joseph Pombe Magufuli ya kwamba CCM itatawala milele.
Tunapoelekea kwenye Chaguzi ndogo za Ubunge Jimbo la Buyungu na Udiwani katika Kata 72 inaonekana kuwa NEC wana mpango kabambe wa kuhakikisha Upinzani hawapati Jimbo la Ubunge wa Kata hata moja. Vituko vinavyojitokeza kwenye maeneo yenye wagombea wa Udiwani kwa Upinzani inasikitisha kama siyo kutishia Amani ya nchi. Kwamba sasa kuna wagombea wa Udiwani toka Upinzani wameambiwa siyo Raia wa Tanzania.....Kuna maeneo Wagombea wanasakwa na Polisi kwa kesi za Mauaji. na kuna maeneo Wagombea wanalazimishwa kujiuzulu au kujaza Fomu kimakosa kwa maksudi ili wawe DISQUALIFIED na Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wa Halmashauri na Miji.
Chondechonde kwa Rais JPM aingilie kati na aepushe huu uhuni unaofanywa na wateule wake toka NEC...!!Ikibidi hata ajitokeze hadharani afute kauli yake ya CCM ITATAWALA MILELE MAANA KAULI HIYO INAONEAKANA KULETA UCHOCHEZI na ikizingatiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka kesho 2019 na Uchaguzi Mkuu 2010 hali inaweza kuwa mbaya sana!!!!
Naomba kuwasilisha.
Hivi Maagizo Toka Juu Bado Yapo
Anzeni kuwaga damu zenu basi tuone. Yaani mnachosha kweli kweli.
Hiyo ni tume ya uchafuzi wala siyo tume ya uchaguzi
Hiyo kamwambie mama yako au dada yako, itafaa zaidi.Kama umechoka nenda leba ukazae.
'That was a kind Way to Say' Maagizo Toka JuuWewe mheshimiwa unaishi Tanzania ipi?
Hichi unachokiona cha Polisi na NEC kuwavamia wagombea wa CHADEMA na mabunduki na huku Wagombea wa CCM wakiendelea kupita bila kupingwa ndo maagizo yenyewe!!!!!.
Watanzania mnatabia za kike mmhh hapana CHADOMO samahani kidogo CHADEMA mnatabia za wanawake
Watanzania mnatabia za kike mmhh hapana CHADOMO samahani kidogo CHADEMA mnatabia za wanawake
Unayoyasema Mkuu ni kweli tupu..MENGELENI KWETU,
Waungwana huanza kwa kuomba mhusika/wahusika wafanye marekebishe ya jambo fulani linalokwenda kombo. Kama mhusika/wahusika hawachukui hatua basi yajayo yanasikitisha......AMANI KUTOWEKA ambayo itawagusa wote kina CCM na wasio wana CCM. Kinachofanywa na JPM, CCM na NEC ni sawa na mtu anachezea shilingi kwenye tundu la choo na itakapo mponyoka basi ajue hatoipata tena.....na Wahenga walisema wakati ni ukuta!!!
Sad that politics has made you blind to the extent you cant see the real problem in our country....
What a loss!!