Tume ya uchaguzi ifm imemtangaza clinton raisi mpya wa wanafunzi kwa mwaka 2014/2015

hamsir

Member
Aug 15, 2013
10
1
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) kupitia tume ya uchaguzi imemtangaza bwana Clinton kuwa rasi mpya wa wanafunzi sambamba na makamu wake Maro maro kwa mwaka 2014/2015. Hivyo kuapishwa rasmi siku ya jumatatu tarehe 09/05/2014 maeneo ya ifm. Kwa pamoja tumpe pongezi na kumtakia kila la heri katika kuwaongoza wanafunzi kwa hekima na busara ili kutatua vikwazo vinavyowakumba wanafunzi vyuoni.
 
kwanza atatue lile tatizo lenu la kulawitia na wahuni maana mnatia aibu nyie mabrazashalo wa ifm
 
Kwa nini watu wanapenda majina ya kuazima? Utasikia msukuma wa Malampaka anaitwa George Washington... Ulimbukeni mtupu!
 
IFM. Watoto wa mama au siku hizi wamebadilika by the way all the best Clinton.
 
Lete sera zake kipindi cha kampeni ili tuweze kumpima, matumaini yangu atalifanyia kazi jalada la kigamboni Police post
 
Kwa nini watu wanapenda majina ya kuazima? Utasikia msukuma wa Malampaka anaitwa George Washington... Ulimbukeni mtupu!

Una wivu wa kike wewe si bure hadi jina la mtu basi we toa lako zuri unalotaka au na wewe zaa mtoto umuite. Hasa kinachokuuma wewe ni nini kama si upofu wa macho yako sijakuelewa
 
Back
Top Bottom